Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo the so called MAKAMANDA WA CHADEMA wanavyokosa mueleko na ideas za kupambana na CCM ya MAGUGULI....ALLEN umechanganyikiwa kwani maandiko yako yanawachanganya hata MAKAMANDA WENZAKO... Yule KIMEO Aliyewaonjesha TABIA ya Kubadilishia GEAR ANGANI amewaingiza choo cha kiume chenye MABAKULI wakati nyinyi hamna FIMBO..... Kwa kifupi UMEANDIKA PUMBA.... haujawahi KUIKOSOA CHADEMA na wala hauna KICHWA na UWEZO wa KUIKOSOA CCM.... wewe ni CHAGADEMA uliyechanganikiwa...CHA ARUSHA NI HATARI...
 
Jenga hoja achana na "character assassination"
 
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.

Nimesoma michango ya watu wengi kwenye thread hii nikagundua kuwa sisi vijana wa Kitanzania hatuwezi kusoma habari kwa umakini tukaielewa bali, tunakurupuka tu. Na hali imewakumba hata viongozi wengi wenye nyadhifa kubwa. Jamaa kwenye heading yake anasema anajitoa Chadema anajiunga ccm lakini content inaonyesha amejitoa ccm na kujiunga chadema
 
Basi utakuwa taahira kwa maamuzi haya.unajifanya ulikuwa unaikosoa chadema wakati ulikuwa namba moja kuitetea wakati wote 24/7. Unadhani hatukujui au. Labda tuambie kwa sasa unapinga matendo ya ccm na serikali yake kwa lipi. Jaribu kufafanua kamanda manake naona kama umerogwa. Cheki akili yako kama ipo sawasawa.pole sana kamanda. Huko ulipo tumekaa sana mpaka tumefilisikia huko. Tumeambulia kuletewa mafisadi tu wale ambao tulikuwa tukiwapinga miaka yote kwa kushirikiana na viongozi haohao ambao waliamua kulamba dume na kuwasafisha watu wasiosafishika. Ni hatari kwa nchi. nakuona unaishi kwa kazi hii mitandaoni tuu huna cha kutuambia
 
Mwandishi wa thread alikuwa under influence of substance....
 
Uzi umeukunja kunja hata uliowalenga wanatoka kavu.
 
Babeli mimi najulikana na kama kuishi kwa kutegemea mitandao basi ningeshakufa kitambo. Hivi kati ya Babeli na Allen Kilewella nani akitafutwa atapatikana kirahisi. Mimi ni machinga na ukija hapa Iringa wala hupati shida kunipata. Wewe babeli unapatikanaje?
 
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo the so called MAKAMANDA WA CHADEMA wanavyokosa mueleko na ideas za kupambana na CCM ya MAGUGULI....ALLEN umechanganyikiwa kwani maandiko yako yanawachanganya hata MAKAMANDA WENZAKO... Yule KIMEO Aliyewaonjesha TABIA ya Kubadilishia GEAR ANGANI amewaingiza choo cha kiume chenye MABAKULI wakati nyinyi hamna FIMBO..... Kwa kifupi UMEANDIKA PUMBA.... haujawahi KUIKOSOA CHADEMA na wala hauna KICHWA na UWEZO wa KUIKOSOA CCM.... wewe ni CHAGADEMA uliyechanganikiwa...CHA ARUSHA NI HATARI...
Maguguli huyo ndiyo nani tena?
 
Basi utakuwa taahira kwa maamuzi haya.unajifanya ulikuwa unaikosoa chadema wakati ulikuwa namba moja kuitetea wakati wote 24/7. Unadhani hatukujui au. Labda tuambie kwa sasa unapinga matendo ya ccm na serikali yake kwa lipi. Jaribu kufafanua kamanda manake naona kama umerogwa. Cheki akili yako kama ipo sawasawa.pole sana kamanda. Huko ulipo tumekaa sana mpaka tumefilisikia huko. Tumeambulia kuletewa mafisadi tu wale ambao tulikuwa tukiwapinga miaka yote kwa kushirikiana na viongozi haohao ambao waliamua kulamba dume na kuwasafisha watu wasiosafishika. Ni hatari kwa nchi. nakuona unaishi kwa kazi hii mitandaoni tuu huna cha kutuambia
Vichwa vya tereni siyo vyetu
 
Back
Top Bottom