Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Cha kwanza jifunze kwanza ndio ujiunge kwenye kambi yetu ya wakosowaji juu ya udhalimu na dhulma tunazotendewa na ccm.

Kwa uandishi huu huku kwenye kambi yetu ya wakosowaji ujirekebishe uandishi maana huu si upande wa vilaza.
 
Nilijua chadema ndio imejiondoa na kujiunga ccm kumbe MTU, hujasikia kama kaburou nae alijiunga ila chadema ilibaki
 
Mzee wa kukurupuka, yaani hata huwezi kusoma uzi kwa undani na kutafakari hadi unamtukana kamanda mwenzio. rudia tena kuusoma huo uzi kwa makini halafu umuombe radhi "kamanda mwenzio"
Mkuu, hawa ndio ambao waliingia chuo kikuu cha Dodoma kwa bahati mbaya, halafu walipoanza kuchujwa wakadai wanaonewa.

Ni kizazi cha madogo wa Tanzania ya leo hii, ambao ukikutana nao barabarani wamevaa ear phones, wanasikiliza muziki mpaka wanakoswakoswa kugongwa na magari.
 
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
and don't come back
 
Kwa ambao awajaelewa ni kwamba umeamua kuwa kada hewa wa lumumba!🙂🙂
 
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Tuwekee Kadi ya uanachama wa CDM!
 
Kuna watu wanalalamika eti kichwa cha bandiko hakiendani na maudhui yaliyomo kwenye mada yenyewe na wapo wengi si haba. Wewe unaopoona neno limeandikwa na kufuatiwa na nukta tatu kama hivi ... unaelewa nini?
 
Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate

Swissme
Asante sana mkuu kwa kumpatia maneno atakayo enda nayo huko kwa walamba miguu
 
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
Mbona kaeleweka sana?ila kwa mazuzu wa bibititi watakenua mimeno
 
Back
Top Bottom