Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,305
33,924
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
 
Sasa wajadili maudhuhi hau kichwa cha habari?
 
Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.

Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
hahahahaha...... ..lovely.
 
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
Duh nimeelewa kwa nini walimu wangu walikuwa wananisisitiza kuhakikisha nasoma swali vizuri na kutafakari kabla ya kujibu. Inatisha kundi kubwa la watu wanashindwa kuelewa ujumbe uliomo ktk mada hii
haswaa na mie niliwaza kama wewe. Si unaona makamanda wanavyomtukana, lakini nimejifunza kitu kuwa watu wakishasoma heading basi anaanza ku comment hawasomi uzi wote swissme
 
Back
Top Bottom