Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Najitoa... CHADEMA Najiunga... CCM

Sawa umeeleweka vyema mkuu.. Na hilo ndilo jambo la muhimu kwa mtu yeyote anayejitambua.

Kuna hatua kadhaa za kufikisha ujumbe / ushauri kwenye kila Taasisi..
 
Kwanza umechelewa Sana wenzako walishatoroka zamani.
 
Hii inadhihirisha team yenu mitandao na strategist wenu zinatakiwa kuchujwa hasa.
Una maana gani ? Chadema hakuna BUKU 7 FC , Japo tunatambua kwamba kwamba ccm inagharamia vijana wake mitandaoni , ninazo taarifa kwamba wewe binafsi sherehe yako ya kuzaliwa uliyoifanya hivi karibuni iligharamiwa na CCM .
 
Mzee wa kukurupuka, yaani hata huwezi kusoma uzi kwa undani na kutafakari hadi unamtukana kamanda mwenzio. rudia tena kuusoma huo uzi kwa makini halafu umuombe radhi "kamanda mwenzio"
wengi huwa wanakimbilia kureply kabla ya kusoma ujumbe
 
Huu ni ulimbukeni kama ulimbukeni mwingine tu, hukuwa na haja ya kuutangazia umma maana wakati ulipoamua kuwa na msimamo wa awali hukutueleza hapa!

Pili ni ujinga wa haja kuwa upande wa kukosoa upande fulani kisa tu umeamua kuwa mkosoaji, kwani ukiamua kuwa mzalendo ukawa unakosoa pande zozote ambazo unaona haziendi sawa unapungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom