babilas25
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 483
- 359
Najitoa Chadema headingKwa nini havifanani?
Najiunga na wakosoaji wa CCM
Najitoa Chadema headingKwa nini havifanani?
Mzalendo nch hii ni mmoja tu! Halafu siikosoi CCM kuonesha uzalendo wangu bali kuonesha mtizamo na msimamo wangu kisiasa. Ama umesahau kama hili ni jukwaa la siasa?Huu ni ulimbukeni kama ulimbukeni mwingine tu, hukuwa na haja ya kuutangazia umma maana wakati ulipoamua kuwa na msimamo wa awali hukutueleza hapa!
Pili ni ujinga wa haja kuwa upande wa kukosoa upande fulani kisa tu umeamua kuwa mkosoaji, kwani ukiamua kuwa mzalendo ukawa unakosoa pande zozote ambazo unaona haziendi sawa unapungukiwa nini?
Mkuu msome vyemaUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Huku ni kukurupuka...soma post uielewe..samahan ulikuwa unapata ngapi sehemu ya UfahamuUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Hana lolote, alitegemea atapewa tonge, kaona hamna dalili, namba kisha ionja, na anachati wakati watoto hawana debe LA ungaUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Tatizo ni ushabiki tu unaowasumbua, badala ya kusoma hoja unaishia kucoment kisa imetajwa Chadema ama Ccmhaswaa na mie niliwaza kama wewe. Si unaona makamanda wanavyomtukana, lakini nimejifunza kitu kuwa watu wakishasoma heading basi anaanza ku comment hawasomi uzi wote swissme
mkuu heading ilinitisha nkafikiri umesalimu amri kwa mafisadi....Najitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Hata mie nilishatarajia kuanza kwa kusoma Taarifa kwa Umma! niliposoma content ikabidi nijiulize kuwa mkuu alikuwa ana sababu za msingi kuweka title isiyoendana na maelezo yake.Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
Kweli maisha bila ya unafiki hayaendi.Chadema utaikosoa vichochoroni lakini serikali utaikosoa mitandaoniNajitoa Rasmi kwenye kuikosoa CHADEMA hadharani badala yake nitatumia mifumo ya chama kufikisha ujumbe wangu. Sitaki kuwa kama Rafiki yangu Benson Mramba wa Tanga ambaye ameamua kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kukosoa chama.
Lakini kuanzia leo najiunga Rasmi kwenye kundi la wakosoaji na wapingaji wa sera za CCM na matendo ya chama hicho ambacho ndiyo sababu na chanzo cha kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo.
Heading ya uzi, jamani nimekuja mbio hadi nimesahau kuvaa japo kandambili. hahhahah. huu uzi watu wasipousoma kwa makini watadhani ndivyo sivyo! hahahahahahahah. Sawa mleta uzi. mie nikuelewa kuliko inavyotakiwa kukuelewa
Hivi huoni aibu kucoment bila kusoma kilichoandikwa?Ulikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Kati ya watu hua wanachemka ni wewe mkuuUlikuwa mzigo tu una hata hoja kwenda zako tena ulikuwa pandikizi la mtandaoni pyuuuu tema mate
Swissme
Kweli amekurupukaMzee wa kukurupuka, yaani hata huwezi kusoma uzi kwa undani na kutafakari hadi unamtukana kamanda mwenzio. rudia tena kuusoma huo uzi kwa makini halafu umuombe radhi "kamanda mwenzio"