Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Kina jesiikaMkuu, hawa ndio ambao waliingia chuo kikuu cha Dodoma kwa bahati mbaya, halafu walipoanza kuchujwa wakadai wanaonewa.
Ni kizazi cha madogo wa Tanzania ya leo hii, ambao ukikutana nao barabarani wamevaa ear phones, wanasikiliza muziki mpaka wanakoswakoswa kugongwa na magari.