this is called karibisha ya kijogoo!!!Mh
hilo jina lako linaonesha kwamba SISI tutajifunza mengi sana kutoka kwako.
by the way kama weye ni MKIKE nakukaribisha SANA SANA jukwaani
kama ni MKIUME nakukaribisha BASI jukwaani
mmmh,jina kwanza nyegelesha na avarat duh kazi ipo!
Karibu mkuu
mkuu naamini huyu nyegelesha ataleta mtafaruku mkubwa humu jukwaani.this is called karibisha ya kijogoo!!!
hahahahaaaa! like it.
Ahahahahahaaaaaah mgeni mwenyewe kaja kiuchokozi!hacha uchokozi, mkaribishe mgeni kiukarimu
kama ni hivyo basi atakuwa ni ...........!!!!!!!!Nawatahadharisha waroho, huyo ni wakiume kavaa pichu ya kike tu. KARIBU ila usitukoroge