Najitambulisha kwa wana jukwaa naomba mnipokee..

Najitambulisha kwa wana jukwaa naomba mnipokee..

Kaisikii

Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
74
Reaction score
3
Nawapenda wote nategemea kupata elimu dunia hapa na kujuzwa mambo mengi nisiyoyajua..kazi njema
 
karibu, wewe unataka kujuzwa t, vipi unayoyajua utaki kujuza wenzio?

hebu tujuze basi maana ya jina lako NYEGELESHA
 
Mh
hilo jina lako linaonesha kwamba SISI tutajifunza mengi sana kutoka kwako.
by the way kama weye ni MKIKE nakukaribisha SANA SANA jukwaani
kama ni MKIUME nakukaribisha BASI jukwaani
 
Mh
hilo jina lako linaonesha kwamba SISI tutajifunza mengi sana kutoka kwako.
by the way kama weye ni MKIKE nakukaribisha SANA SANA jukwaani
kama ni MKIUME nakukaribisha BASI jukwaani
this is called karibisha ya kijogoo!!!
hahahahaaaa! like it.
 
mmmh,jina kwanza NYEGELESHA na avarat duh kazi ipo!
karibu mkuu
 
this is called karibisha ya kijogoo!!!
hahahahaaaa! like it.
mkuu naamini huyu nyegelesha ataleta mtafaruku mkubwa humu jukwaani.
Sijui mchungaji Masa, Askofu, ASPIRIN na ISC team tutatafutanaje maana mgeni kaingia kwa hamu ya kutamanisha vile. Jina na Avatar ni signal tosha kwa kuanzisha ugomvi humu lol
 
Karibu sana Nyegelesha.
Hiyo avatar na jina lako kweli yanarandana!
 
Nawatahadharisha waroho, huyo ni wakiume kavaa pichu ya kike tu. KARIBU ila usitukoroge
 
Back
Top Bottom