Najitaidi kulewa ili nimsahau lakini wapi?

Najitaidi kulewa ili nimsahau lakini wapi?

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
810
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
 
Nia unayotumia ni mbovu utamsahau ukilewa pombe ikiisha unaanzia pale ulipoanza kunywa wewe jifunze kukubali matokeo
 
Daaaah! I had that problem,fanya meditation as much as u can kwa kufuata taratbu zake...hakika utamsahau na matatzo mengne mengi utayasahau..
 
Kulewa hakuondoi tatizo dawa ya tatizo ni kulitafutia ufumbuzi wa kudumu.mie sio mtaalam wa mahaba ila kinachokuumiza wewe ni kuweka akili yako 75% kufikiria mapenzi unadhani ungekuwa unawaza issue za kazi/biashara huo mda wakumfikiria mwanamke ambaye siyo mama yako ungekuwa nao?

Binafsi sikumbuki ni lini nimekaa na kuwaza wanawake niliochana nao,hivi vichwa tumepewa tufikirie kufanya mambo mengi na makubwa kwa ajili ya hii dunia ila wengi wetu hili hatulijui tunajikuta tunawaza vitu vidogo vidogo visivyo na mbele wala nyuma.
 
Muda tuu ndio kila kitu.
Ndomaana nikiimba jamaan pombe sio tiba ..ooohooo weee padreee .

Sounaona mkuu daily anakunywa pombe lkn hajatatua tatizo ?? Pombe inawapa temporary relief kwa kuchochea kumwaga kwa Dopamine ktk ubongo especially ktk ventral striatum sasa hapa unajiona bonge lamtuuu at the same time iz shory memory zinakua zimesahaulika huzikumbuki.

Kimbembe nipale pombe inapoisha kumkichwa hahahahahahaha so ili usahau nilazima masaa 24 uwe chapombe !!

Hii shida sana hasa in a long term
 
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Nani aliekwambia kulewa ndo dawa ya kumsahau?
 
Mkuu huo ni wendawazim mwanamke kukuharibia hadi ufike hatua ya kulewa.

Ishi na mwanamke kwa Akili
 
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia mnahitajika humu njooni mnisaidie.
Screenshot_2018-03-24-04-50-34.jpg
 
kuna wanawake wana vitu vya pekee mzee.
Mimi uwa simsahau sheila.na Leah hawa wanawake.walikuwa na upendo Wa ajabu.nitazunguka kote lakini kuna muda uwa nawakumbuka.
Kweli mkuu hata mi naelewa,but sio wa kuwawaza muda wote,kuna vingi vya kufanya
 
Back
Top Bottom