Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

Amna hcho kpnd
Me demu wangu alikuwa kwao ndani ndani uko kusalimia hata ATM ni ishuu..akanipa Password na card ya bank na sijawahi kumuibia hata miaa..!!
Ila nikimuomba mara moja moja natoa tu
 
Post #1 Hadi #228, ukisoma vizuri kwa umakini majibu anayotoa mlengwa naona Tone haishabiiani.
Topic hii naona kama ni Indirect method ya kutafuta kitu.

Big Brains watanielewa
 
Kuna huyu mmoja nilimwambia babe sipendi tabia ya kuniomba hela kwani nami nimeajiriwa kama wewe,akakasirika akanambia nimemdharau,tena tuliongea tukiwa wenyewe sehemu tulivu kwa ipole na ustaarabu,sasa kosa langu li wapi?
Duuh!..hata mimi ningesepa mdogo mdogo..noti rait.
 
unaitaji kumuona Dr wa psychologist [therapist]unaitaji tibaa...sio kwa kuji down kiasi hicho.hela yako inakutesa
 
Nipe namba zako za simu ili tushauriane
 
Pole sana dear
 
Kuna mama mmoja alishawahi kuwa dean of student pale ardhi university mtafute atakusaidia ushauri, huyu maza alishanisaidia sana kipindi nasumbuliwa na mambo flani,
NB: anatoa ushauri wa maneno sio pesa
 
pole sana....kizazi dume kinaangamia kabisa...ila jiamini usiingie kichwa kichwa.....jithaminishe wewe kama wewe....mchomekee dinner sehemu nzuri ya kawaida....mcheki yuko responsible.....usikibali kirahisi...kubali ktk uhalisia...kwamba "HE CAN HANDLE LITTLE THING"....then msogeze hatua B, C........utamjua vema.....mmeumbwa kwa ajili yetu.....tun mbinu lukuki....
 
Awamu hii yautawala wanaume wanaopenda kitonga niwanaume wenye familia kabisa, wanachokifanya wanakuja kwako ili uwasaidie kutunza familia zao. Wachunguze hao maex wako kama hawana wake nawatoto/mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…