Najihisi mimi ni mtu mwenye roho mbaya sana

Mbona sioni hiyo roho mbaya mkuu maana hizo ni reactions za kawaida tu kwa binadamu. Mtu akikutendea ubaya na usimlipe kwa ubaya Ila ukaamua kumfungia vioo na kuendelea na maisha yako

Roho mbaya ni kama ungeamua kuwadhuru kiasi watu tushtuke au umtendee mtu ubaya ambaye hajakufanyia lolote.. Ia kwa ulivyo, Upo kawaida tu
 
Nafikiri mimi niko kama wewe mkuu, sipendagi ujinga na mtu akinifanyia ujinga lazima ni mnyooshe alafu ndiyo namsamehe. Kama ni mahusiano nitabakia ku-m play kama ni mtamu, otherwise, biashara inaisha mazima.
 
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume anitukane huyo mwanaume simjui ila alinambia usipike simu hii tena akakata simu from there moyo uliingia baridi, baadae yule dada aliniomba msamaha kua ni hasira tu na yule jamaa hana issue nae na uchumba ulikua unafahamiki kwetu na kwao tukaitwa kikao kusuhishwa nikakubali kumsamehe lkn kila nikikumbuka ile sauti ya yule mwanaume moyo ukawa unauma upya nikashindwa kuendelea nae.

Hata katika maisha ya kawaida awe ndugu au rafiki akinikosea pakubwa saana ambapo sikutegemea afanye hivo kumsamehe na kurudisha ile imani ya mwanzo siwezagi kabisa.

Mwanamke tukisha achana hata kesho nimuone na mwanaume mwingine moyo wangu haustuki hata kidogo nikiondoka nimeondoka.

Ikuwa rafiki au ndugu tukigombana tukaachana hata niwe na shida ya vipi na najua unacho siwezi kukulilia shida yangu nakua nipo radhi kulala njaa kuliko kumlilia shida mtu ambae hatupo sawa tena.

Kawaida Sanaa, Sioni Roho Mbaya Yeyote Hapo. Wewe umeamua kumzimia taa mazima ni kitu any sound individual would do.

Mi Nipo Hivyo Hivyo Kiasi Watu Wazima Walionikosea Washanitamkia Kabisa “ Kijana Naomba Unisamehe Either Ni Utani Au Sikukusudia “ ila huku mimi nimejiridhisha kabisa kwa intelligence zangu kwamba yule muhusika alikusudia kweli kunikosea….aisee huwa sirudigi nyuma (kuweni makini sana mnavyo treat watu, watu wanaweka sana kumbukumbu ya ubaya unaowafanyia for decades)

Sasa ajabu mimi wala siweki kinyongo ila ni kwamba shobo , uswahiba, ushkaj, mazoea, utani unaisha pale pale siku na wakat ule ulionikosea na sitakagi kabisa ujamaa tena na huyo mtu ila swala la kinyongo halipo (cz itaniumiza mimi tu na dini yangu Ukristo haitaki niwe hivyo. Ila ukaribu tena NO hata utambike mbuzi 100)

Wapo Wengi Tu Nimefikia Nao Hii Stage Na Wanajua Fika. Asikuambie Mtu Bwana Watu Wanajua Sana Wanachokifanya. Samehe Ila Don’t Be Stupid. Kuna Watu Wanapenda Sana Kutukuzwa / Kuabudiwa. Show Them They Just Trash / Not All That And YES Never Beg For Love / Attention.

Mtu Mnafki Asiye Na Fadhila Muonyeshe Kwa Vitendo Kwamba Yeye Ni Chok0 Tu, Akagongw€ Mbel€.
 
Mkuu Mimi ni mtu mmoja mwenye huruma sana,, kuna muda hadi mama na baba huniambia sipaswi kuwa hivyo, huruma ikizidi inakuwa sio kitu kizuri sababu huwa najikuta ninajali sana, mtu akinikwaza hata kama Nina haki ya kumpa adhabu najikuta nimeshindwa tu sababu nikiwaza baada ya kumuadhibu ntajikuta naumia sana na kujutia..

inafikia time kwenye vimishe vyangu (natumia ujuzi kuingizA pesa) nakuwa namhurumia sana mteja kwa kuweka bei chini sana Ili kutoa huduma kutokana na kumhurumia,, hii kitu inantesa..

ila kuna kipindi nikikwazika seriously (machukizo yakinizidia) huwa nagundua Mimi ni katili sana, roho ya huruma ikintoka kulingana na machukizo aisee, huwa sinaga majuto na kile nitachofanya,, katili sana! Sasa nashindwa kujua ukiwa na huruma sana upande wa pili lazima uwe na roho ya kikatili kwa kiwango hichohicho?? Mshana Jr

Rafiki yangu mmoja ambaye ni marehemu alinambia kabisa kuwa hiyo roho yako ya huruma ipo siku itakuponza na huwa inaniponza mara nyingi.
Kwenye maisha ukiwa na huruma watu wanajua na sio kwamba wataitumia huruma yako kukupenda Ila wataona ni udhaifu wa kukutumia kwa bei chee au kukudhulumu

Huruma ikizidi pia unajikuta unajali wengine kuliko unavyojijali, yaani unaona kheri ukose kuliko kumkosesha mwingine lakini ubaya ni kuwa, dunia ya sasa inahitaji watu aggressive na wanaoweza kusimamia maslahi yao katika kila kitu. Ukoshindwa kulijua hilo utakuwa obsessed na watu kukupenda au kukuona mwema Ilhali unajiumiza mwenyewe
 
Ni hulka ya kuogopesha sana.. Natambua sana hiyo hali na inawakumba introverts wengi.. Ukimya, upole, huruma ila kuna mahali ukiguswa ukagusika vyote hutoweka na roho moja ya kikatili sana hujitokeza.. Ni kitu ambacho hakirekebishiki hasa kama umeshakuwa mkubwa
 
This might be true.. I'm an introvert in advance
 
Rafiki yangu mmoja ambaye ni marehemu alinambia kabisa kuwa hiyo roho yako ya huruma ipo siku itakuponza na huwa inaniponza mara nyingi.
Kwenye maisha ukiwa na huruma watu wanajua na sio kwamba wataitumia huruma yako kukupenda Ila wataona ni udhaifu wa kukutumia kwa bei chee au kukudhulumu

Huruma ikizidi pia unajikuta unajali wengine kuliko unavyojijali, yaani unaona kheri ukose kuliko kumkosesha mwingine lakini ubaya ni kuwa, dunia ya sasa inahitaji watu aggressive na wanaoweza kusimamia maslahi yao katika kila kitu. Ukoshindwa kulijua hilo utakuwa obsessed na watu kukupenda au kukuona mwema Ilhali unajiumiza mwenyewe
Najiona Mimi hapa, kuna muda naona na-care sana watu kuliko navyojijali na kuona it's okay..

hata pale ninapoona it's too much to behave like this na kujaribu kuwa aggressive, kuna roho hunijia na kuniambia huyo si Mimi..

polepole lakini najifunza kulingana na Dunia iendavyo na umri unavyoongezeka.. utotoni ndio ilikuwa balaa.. hata kuku akichinjwa Nyumbani au mnyama yeyote nilikuwa nikilia sana
 
Hivyo ndivyo mwanaume unapaswa kuwa, hata mm niko hivyo. Nikisema no ni no. Wanawake wa kunijaribu jaribu kwangu hwana nafasi kabisa. Anikifanyia tukio eti ili kunipima mm niki react akirudi kuomba msamaha anakua kesha chelewa
 
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume anitukane huyo mwanaume simjui ila alinambia usipike simu hii tena akakata simu from there moyo uliingia baridi, baadae yule dada aliniomba msamaha kua ni hasira tu na yule jamaa hana issue nae na uchumba ulikua unafahamiki kwetu na kwao tukaitwa kikao kusuhishwa nikakubali kumsamehe lkn kila nikikumbuka ile sauti ya yule mwanaume moyo ukawa unauma upya nikashindwa kuendelea nae.

Hata katika maisha ya kawaida awe ndugu au rafiki akinikosea pakubwa saana ambapo sikutegemea afanye hivo kumsamehe na kurudisha ile imani ya mwanzo siwezagi kabisa.

Mwanamke tukisha achana hata kesho nimuone na mwanaume mwingine moyo wangu haustuki hata kidogo nikiondoka nimeondoka.

Ikuwa rafiki au ndugu tukigombana tukaachana hata niwe na shida ya vipi na najua unacho siwezi kukulilia shida yangu nakua nipo radhi kulala njaa kuliko kumlilia shida mtu ambae hatupo sawa tena.
Wewe ni mwanaume mwenye msimamo sio wa kuyumbishwa yumbishwa.

Roho mbaya hapo haipo.
 
Maisha ni magumu sana ndugu zangu..

Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.

Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji

Dizaini ya watu kama wewe ni wenye misimamo mikali na hawayumbishwi hovyo.

Mpaka mtu atambue hiyo roho nzuri yako ni amekusoma na kukuelewa.
 
Same to me.....huwa sirudi nyuma
 
Maisha ni magumu sana ndugu zangu..

Binafsi nina roho nzuri sana ila nina outluk expression mbaya..kuanzia muonekano hata uvaaji na mbaya zaid ni sauti.

Naweza ongea kitu kwa nia nzir tuu ila tone ya sauti iikaishia kuharibu kila kitu niashindwa kueleweka na kuacha sintofaham kwa waslkilizaji
Kw sifa hii mm Mara nyingi napenda kukaa kimya tu ku ila sasa shda ya binadamu hata hcho kimya pia utaambiwa jeuri
 
Dizaini ya watu kama wewe ni wenye misimamo mikali na hawayumbishwi hovyo.

Mpaka mtu atambue hiyo roho nzuri yako ni amekusoma na kukuelewa.
Kuna mshkaji wangu mmoja tuliisha pamoja hostel same room for 1 year akaja admit hiki ulichosema hapa.."
NA mpaka leo tuko pamoja kwenye mihangaiko ya maisha as partners..
 
Back
Top Bottom