Najihisi mimi ni mtu mwenye roho mbaya sana

Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume anitukane huyo mwanaume simjui ila alinambia usipike simu hii tena akakata simu from there moyo uliingia baridi, baadae yule dada aliniomba msamaha kua ni hasira tu na yule jamaa hana issue nae na uchumba ulikua unafahamiki kwetu na kwao tukaitwa kikao kusuhishwa nikakubali kumsamehe lkn kila nikikumbuka ile sauti ya yule mwanaume moyo ukawa unauma upya nikashindwa kuendelea nae.

Hata katika maisha ya kawaida awe ndugu au rafiki akinikosea pakubwa saana ambapo sikutegemea afanye hivo kumsamehe na kurudisha ile imani ya mwanzo siwezagi kabisa.

Mwanamke tukisha achana hata kesho nimuone na mwanaume mwingine moyo wangu haustuki hata kidogo nikiondoka nimeondoka.

Ikuwa rafiki au ndugu tukigombana tukaachana hata niwe na shida ya vipi na najua unacho siwezi kukulilia shida yangu nakua nipo radhi kulala njaa kuliko kumlilia shida mtu ambae hatupo sawa tena.
Mwenye roho mbaya sana hapendi, ulivyoanza kusema unapenda tu ushafeli mtihani wa Tabata Ubaya Ubaya.
 
Kuna mshkaji wangu mmoja tuliisha pamoja hostel same room for 1 year akaja admit hiki ulichosema hapa.."
NA mpaka leo tuko pamoja kwenye mihangaiko ya maisha as partners..
Na ni watu wenye marafiki wachache sana.Na ukiamua kufanya jambo lako huogopi moto wala maji mpk utekeleze ulichokikusudia

Hatari sana.
 
Upo sawa tu mbona,Kama mbwai mbwai......yaani akupe mwanaume mwenzio ukugombeze halafu ajitie ilikuwa hasira hapana.!
 
Na ndivyo ninavyoonekana, Niko ivi nikimpenda mtu nampenda kwa moyo wote ntajitolea kwa kila hali na Mali lakini siku akiniumiza moyo saaana siwezi kumsamehe nikamrudisha kwenye status ile ile hata anifanyie nini.

Kwa mfano nilikua na girlfriend tulikua na mipango mingi lkn siku moja tulizinguana kwenye cm akampa simu mwanaume anitukane huyo mwanaume simjui ila alinambia usipike simu hii tena akakata simu from there moyo uliingia baridi, baadae yule dada aliniomba msamaha kua ni hasira tu na yule jamaa hana issue nae na uchumba ulikua unafahamiki kwetu na kwao tukaitwa kikao kusuhishwa nikakubali kumsamehe lkn kila nikikumbuka ile sauti ya yule mwanaume moyo ukawa unauma upya nikashindwa kuendelea nae.

Hata katika maisha ya kawaida awe ndugu au rafiki akinikosea pakubwa saana ambapo sikutegemea afanye hivo kumsamehe na kurudisha ile imani ya mwanzo siwezagi kabisa.

Mwanamke tukisha achana hata kesho nimuone na mwanaume mwingine moyo wangu haustuki hata kidogo nikiondoka nimeondoka.

Ikuwa rafiki au ndugu tukigombana tukaachana hata niwe na shida ya vipi na najua unacho siwezi kukulilia shida yangu nakua nipo radhi kulala njaa kuliko kumlilia shida mtu ambae hatupo sawa tena.
Same here
 
Kweli kuna watu tuna sifa zinazofanana. Binafsi niko hivyo,,naweza kumpenda mtu awe rafiki ndugu jamaaaa na kuonuesha mapenzi ya dhati au hata kujali lkn ukinizungua huwa siwezi kurudi kwenye hali ile sasa wale wasionijua wanasema nina roho mbaya,, mara jeuri.

Kwenye maisha lazima ujiwekee kanuni zako,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom