Najihisi kuchanganyikiwa....

Sawa nitarekebisha niandike mgane..tunda hajapata..

Dada ulimtumia picha zako ukiwa haujapaka poda so akashtuka uwiiiiii!

Siku nyingine ukinipata mm nikiomba picha yako paka wanja wa nguvu na make ups za kutosha then ndiyo nitumie hizo picha;Haya mambo yako ya natural beauty yamekukosesha dushulele dada!
 
Niseme tu ili iweje ndugu yangu!yametoka moyoni..sipendi kusema vitu ambavyo sina uhakika navyo!

ok... hisia zako ndo zimeupeleka huko....utaendelea kuteseka mpaka lini? geuka angalia njia nyingine... msamehe msahau....
 
Matapeli wako wengi mitandaoni.ikikna hivyo ujue ameshatongozwa mwengine mtandaoni.hilo liwe funzo kwako usimuamini mtu kivile kwenye mtandao.kwake yeye hakukuchukulia serious, zaidi ya kukupa maneno ya sweet words basi na kujua utaingia laini.mshuouru mingi kwa kukuepusha.engine bla bla zake ni uongo mtupu.The
 
Hayo yanatoka moyoni dadangu? ua blah blah za mahaba,,, then uwazingue,,,, jifikirie wewe kama wewe kwanza, then think wat u want......pole sana but be smart...


Kha makubwa haya!
 
Shosti Pole sana,lakini kama kosa lako hulijui kwanini uombe msamaha? na kusoma hakumfanyi mtu kua muungwana,na huyo jamaa sio mwanamme wa kisawa sawa na au niseme sio mwanamme alotimia anavaa tuu suruali na yeye ambiwe mwanamme,sababu mwanamme alokamilika haoni tabu kukwambia ukweli kama umemkosea au hata kama hakutaki tena sio kukufanyia visa vya kike, na kila likuepukalo lina kheir na weye, usijishushe hadhi yako kwake zaidi ya hapo staki mwenzie
basi......
 
Kama kapata mwengine its fine dada lkn i didnt know some people are such cowards,leaving me here wondering around!instead of just sayin he cant be with me!
 
Kha makubwa haya!

Pls naomba nichukue nafasi ya huyo jamaa aliyepoteza hiyo bahati;sitafunga mawasiliano na ww!Kwa sasa ndiyo nimewasili kijijini Msimbati baada ya kupata ajira hizi mpya za serikali za ualimu!Siku umefika Mtwara tafadhali nitembelee Msimbati Primary School,uliza Mwl Malafyale;mwl kijana kuliko wote hapa!!

Ni PM tafadhali nianzishe song la kiutu uzima,nina miaka miaka 24!
 
Umeona eeh!

Halafu huyo hana cha ugane wala nini, siajabu na mke na watoto wake nyumbani
Bidada saa hii anaumia moyo kaachwa na mtu ambaye hata hamjui, just kuongea kwenye simu dada kwisha kazi yake, kesho atarudi hapa atoe sababu za uongo na kweli halafu apange waonane haraka sana, akishamvua pichu tu, ndo atashaanga hata huko kublokiwa hutakuona tena.

Mapenzi ya mtandaoni, nawe unasadiki umepata mtu lol!

Pole my dear..! Hii Jf kuna baadhi ya watu wapo kwa ajili ya kucheza na akili ya wenzao..!

Achana nae huyo... Hana cha ujane wala nini... Tapeli tuu huyoo..!
 
sister mwanadamu alipewa maamuz yatokanayo na utash wa akili yake fahamu hayo n maamuz yake na hata siku moja hucjtwike mzgo wa kujiona mkosaj na mdhaifu kwa kosa uclolifanya hujamkosea lakn n maamuz yake na ukumbuke bnadamu twaweza amua kutokana na msukumo wa muda sa huwez jua alikuwa na msukumo gani kwa muda huo mpaka akakupenda,na siku zote ukimpenda m2 kutokana na msukumo wa wakati hakika thaman yake huisha wakati huo unapopita.amin busara na u2 n vaz lisilonunuliwa lakn wachache ndo wanalo.usiusurubu moyo wako .msahau
 
Kingine acha kujidanganya wakati unaona, huyo bwn hana mpango na wewe achana nae jifute kwake kama alivyokufuta wewe kwa stail hizi amepata watu wakamshauri akutose so be strong, mahusiano ya mitandaoni ni artificial achana nayo
 

malafyale kwel dili kufukuzia kaka
 
Kingine acha kujidanganya wakati unaona, huyo bwn hana mpango na wewe achana nae jifute kwake kama alivyokufuta wewe kwa stail hizi amepata watu wakamshauri akutose so be strong, mahusiano ya mitandaoni ni artificial achana nayo
Watu wamshauri anitose?he is a grown up man he is suppossed to be able to make his own decisions!
 
Sawa nitarekebisha niandike mgane..tunda hajapata..

Hee ss unaumia kihivyo wakati hakujui? Ndounamsahau faster nbona! Kweli we a differ!
mpotezee bana kitu gani!!,
Halafu jf kuna mambo hum,asante kwa somo aisee
 

cheriefrance;

Kwanza pole little sis,

Pili piga moyo kondo, na angalia maisha yako kwani mbele kuna mwanga zaidi....huwezi jua likuepukalo katika hayo 'mahusiano' na huyo mkaka'.


basi nakuacha na kipande hiki cha mawaidha:

A pessimist sees the difficulty in every opportunity;
An optimist sees the opportunity in every difficulty

If you change the way you look at things, the things you look at change.. Maintain Positive Thoughts, Look forward and see hope …..

Wasalaam,

Shadow!
 
watu wenye vichwa vya panzi kama nyie ndo dawa yenu hiyo!na ilitakiwa akugonge kwanza ndo apotee,afadhali changu anatoa penzi kwa mtu ambaye anamuona wewe unajirahisisha kwa mtu ambaye hata sura huijui wewe ni zaid ya kahaba na huna akili.
 
Kuna wakati hautakiwi kuwa serious sana na maisha....
Yatakuboa!
Pole sana, kuna vitu kwenye maisha haufundishwi una experience kupitia maumivu mengi na misukosuko ya kutosha.
So kitu pekee dunia itakachokuambia kwenye mda kama huo ni "POLE, VUMILIA, ENDELEA NA SAFARI, HAYO NDIO MAISHA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…