Najihisi kuchanganyikiwa....

Pole sana mdada.... Si na wewe umchunie? Limtu umekutana nalo ukubwani, limekomaa mpaka limeota manyoya na wala halina mchango / msaada wowote katika maisha yako. Humfahamu kiundani na wala akufahamu kwanini likutie Pressure....

Tupa kule, halikuweki mjini....

Sometime ukiuendekeza moyo utakuwa mtumwa dada...
 
Aisee! Pole bidada! Huyo tapeli wa mapenzi tuu isitoshe alikudangnya kuwa ni mjane pengine waifu wake yupo sana! Bora ushukuru na hivi hujawahi kumuona pengine mfuupi ka kima! Achana naye usiumize moyo wako my dia kwan umezaliwa naye?aaahgh!
 
Khah! Una spidi ya ferari, hataa kabla sijamaliza kukuita ushatia timu?

Hahaha eti kuchanganyikiwa.
Alisema ni mjane? Kabanwa huyo, in a month atakuja na excuses kibaao ooh nilienda abroad nikaacha simu sijui nini.

Kata mti panda miti. Si upende id ingine? Lol.
Mkwe Husninyo mekumiss.
 
Last edited by a moderator:
Dada pole mwaya weng tunaumia na mapenzi nakila mtu anaumia kivyake.jaribu kumpotezea kaona hauna thaman kwake ndio maana kakufanyia Hivyo unaumije dada pole sana mapenz yanaumaje haswa ukipenda.anza Mchakato wakutafuta mwinine mungu akujalie lakin mpunguzeni vigezo sio lazima amefika chuo Kikuu tupo sisi tulioishia la 7 na tuna mapenzi ya dhati.kila la heri ndugu.
 
Ni hali halisi unatakiwa kuwa na subira ila usikate tamaa hali hii ni Kawaida Kama bado unampenda
 
Pole my dear..! Hii Jf kuna baadhi ya watu wapo kwa ajili ya kucheza na akili ya wenzao..!

Achana nae huyo... Hana cha ujane wala nini... Tapeli tuu huyoo..!
 
sawa nashukuru kwa ushauri wako lara 1
 
Utakuwa na matatizo!!uko serious kabisa na mpenzi from jf!!kweli wonder shall never end
 
There is a saying that says that ''I was born intelligent but education ruined me'' and the other one says this "ukiondoa vitu vyote ulivyosoma darasani unachobaki nacho ndo elimu" nahisi nimeeleweka mkuu
 
Roho itakuuma vp ndg yang wakat ata hamjafanya chocht cha maendleo(kiuchum,social au kimila),uyo c wako ndugu.MUOMBE MUNGU na umshukuru ajakuachia mimba wala vvu.
 

Labda sio mzima ...
 
Wanawake waongo mbona pia wapo humu, kuna mtu anasema alishapanda boti ya Zenj humu, kumbe...
 
Aisee! Pole bidada! Huyo tapeli wa mapenzi tuu isitoshe alikudangnya kuwa ni mjane pengine waifu wake yupo sana! Bora ushukuru na hivi hujawahi kumuona pengine mfuupi ka kima! Achana naye usiumize moyo wako my dia kwan umezaliwa naye?aaahgh!
Nina uhakika ni mjane!lkn nashukuru kwa ushauri wako vilevile!
 
Hahaha eti kuchanganyikiwa.
Alisema ni mjane? Kabanwa huyo, in a month atakuja na excuses kibaao ooh nilienda abroad nikaacha simu sijui nini.

Kata mti panda miti. Si upende id ingine? Lol.
Mkwe Husninyo mekumiss.

hhhhhhhhaaaa!!! mkwe halafu mwanao nshamchoka maana simuelewi elewi. hebu nitaftie id nyingine niipende.
 
Last edited by a moderator:
BAK taratibu naona kama mnafahamiana hivi nikifuatilia maongezi yako na huyu dada yetu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…