Najihisi kuchanganyikiwa....

Weeee mbona nimekoma nimpate mwengine hapa thubutu yako...
Ukishindwa mara mia moja unatakiwa useme nimegundua sababu mia moja za kushindwa, ili nafasi ya 101 ikitokea usirudie yale makosa mia moja ya mwanzo ili ushinde kwa kishindo.
 
watu wenye vichwa vya panzi kama nyie ndo dawa yenu hiyo!na ilitakiwa akugonge kwanza ndo apotee,afadhali changu anatoa penzi kwa mtu ambaye anamuona wewe unajirahisisha kwa mtu ambaye hata sura huijui wewe ni zaid ya kahaba na huna akili.

My friend,seems you perfect in everything you do. Lawama zimekuwa nyingi kuliko kutoa suluhisho.
 
labda ni Mungu amekuepushia mambo mabaya ambayo yangekupata endapo ungekuwa nae zaidi
 
Una ushauri mzuri sana watu8!
Shukrani wala usijali tunapeana mawazo tu best...

Take that as a compliment! Kuhusu hilo suala la kupenda alitamka kuwa ananipenda labda kama hakumaanisha aliyoyasema mimi siwezi kujua!
Sasa naona kuna mahali tunaelekea...unajua pale juu hukubainisha kwamba maongezi yenu yalifikia mahali hadi mkatongozana na mioyo yenu kupendana.

Kama kweli alikuambia anakupenda na sasa anafanya hivi, basi kuna uwezekano mkubwa sana kuwa havutiwi nawe tena(sorry this's kinda hard truth)...
Nakushauri nawe endelea kukaa kimya wala usimtafute...onesha kuwa hujali tena na wala humuhitaji, na hata kama ikitokea kakautafuta muambie umesha move one(lol hapa sijui atasoma haya niliyoyaandika, hahah maana si umesema yupo humu ndani...ndio maana jiniazi invizibo aliweka PM)...
 
Unajua its not about physical appearance or achievements...I have connected with him emotionally(its more about feelings,kama ulivyosema awali mioyo yetu imependana)..Inawezekana nimesema kitu kimemkwaza lakini mimi siwezi kujua mpaka aniambie,so him ignoring me doesnt solve anything...But nitaufanyia kazi ushauri wako 🙂
 
BAK naomba wimbo wa Mapenz yanarun Dunia sijui kama kaimba Ali Kiba au Diamond
message ninayotaka apate huyu bidada na wengine ni ''MAPENZ YANAENDESHA DUNIA, NA JUA KUWA MWANAMKE AKIPENDA, KAPENDA KWELI''.
kwahiyo wakaka wote mnaofanya trial and error kwenye mwpenz mnawaumiza wadada kama hawa, ila nawe mdada/mschana huku mitandaoni nawe fanya trial and error ili hata asipokupigia nawe unalala usingizi wacha yeye ndo akutafute hata ikipita miezi sita poa tuu after all mmekutana na miaka zaidi ya 20, utashindwa kaa miezi 6 bila kumuona au kusikia sauti yake? Jipe moyo kwa maneno haya, FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITEE na KUVUJA KWA PAKACHA NAFUU YA MCHUKUZI so mwanamtandao ambae mnachat nae kila mahali akisepa na akikuchunia mchukulie kuwa kavija kwenye pakacha lako nawe umepunguziwa mzigo kuendelea mbele.
NB: MAADAM HUJATAJA ID YAKO YA ZAMANI NA ID YA HUYO SO CALLED LOVER nimehisi annaweza kuwa alikuwa hubby wangu niliyetaka kumuacha maana nae alikuwa busy na mitandao kwangu alikimbia, now karudi and he's with me most of time, so amerudi kwangu wewe tafuta mwingine alikudanganya kuwa ni mgane mkewe yupo tena mzuriii wa sura na tabia, japo hakosi kasoro kwani si malaika.
Poleeeee kwa kuumizwa moyo.
 
Last edited by a moderator:
Hajanidanganya kama mgane!ni mgane kweli labda kama alioa tena au kama ana uhusiano na mtu mwengine!
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu hapa Jf hakuna wachumba kama unatafuta mchumba watakuumiza sana, hapa wamejaa waume za watu na wachumba za watu baasi, hivyo ulikosea sana huoni alikwambia yeye ni mjane ili kama wewe ni mjanja ushtukie mapema yeye ni mume wa mtu sema wewe bado hujaumizwa vizuri ukiumizwa vizuri utapata akili hapo bado
 

ni PM nikusaidie mbinu za kuepuka kuchanganyikiwa....do it faster, ni vema kunywa mchuzi wa mbwa kabla haujapoa.
 
Haki ya Mungu nilikua sijui;kumbe hapa kuna watu wanaongea hadi wanaenda kupigana dushulele?Waaaohh sikuyajua haya!Na mm sasa naanza kazi mmoja mmoja chemba![/QUO

Kama afya inakuruhusu na ATM inatema. Wewe TU!
 
watu wenye vichwa vya panzi kama nyie ndo dawa yenu hiyo!na ilitakiwa akugonge kwanza ndo apotee,afadhali changu anatoa penzi kwa mtu ambaye anamuona wewe unajirahisisha kwa mtu ambaye hata sura huijui wewe ni zaid ya kahaba na huna akili.

hee!ndugu mbona kumtusi mwenzio?...amejirahisi vipi hata tunda hajampa?
 
haa!jamani jf kuna mambo hum,yaami nimecheka na hizi comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…