Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 616
Habari wanajukwaa.
Nataka nijifunze namna ya kufanya data analysis, kwa data za research. Ni fursa niliwahi kukutana nayo, kwamba wanachuo wengi muda wa research wanakuwa bize sana, na data analysis inawapiga chenga baadhi yao.
Hivyo nimeamua nijikite kuwa na Hiyo skills, lakini sijajua wapi pa kuoingeza utaalamu zaidi.
Kwa Sasa Najifunza software ya R Commander ambayo nasikia iko applicable sana.
Msaada wenu naombeni mahali pa kuongeza elimu ya haya Mambo zaidi.
Pia Kama Kuna mahali naweza kupata free data kwa ajili ya majaribio, ingependeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app