Najifunza Data analysis naombeni msaada wenu.

Sophoghani

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
395
616
Habari wanajukwaa.
Nataka nijifunze namna ya kufanya data analysis, kwa data za research. Ni fursa niliwahi kukutana nayo, kwamba wanachuo wengi muda wa research wanakuwa bize sana, na data analysis inawapiga chenga baadhi yao.

Hivyo nimeamua nijikite kuwa na Hiyo skills, lakini sijajua wapi pa kuoingeza utaalamu zaidi.

Kwa Sasa Najifunza software ya R Commander ambayo nasikia iko applicable sana.

Msaada wenu naombeni mahali pa kuongeza elimu ya haya Mambo zaidi.
Pia Kama Kuna mahali naweza kupata free data kwa ajili ya majaribio, ingependeza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiliana nasi kupitia 0768469574
 
Mkuu jifunze software inaitwa stata ndio iko kwenye soko na nirahisi kujifunza.

Jinsi ya kupata data hapo unaandika neno “sysuse auto”.

Iliuweze kujifunza data analysis anzakujifunza “scale of measurement “

Hii itakufanya ujue ni test gani utatumia kulingana na data ulizonazo.

Badala ya hapo sasa soma test zenyewe kama correction,regression,t-test,chi-square...,ukijifunza hapo utajua jinsi ya fanya analyis

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaweza kuangalia kwenye kazi nyingi kwa hapa bongo hata mbele utaona stata ndio wanatumia sana sio R,

Kingine unachotakiwa kujua ni kwamba iliuweze kuanalyze data lazima uwena data kama data wanakuletea kwenye format ya spss lazima uzibadili ziwekwenye stata,stata inafanya hivyo.

Kama utakuwa unawaingizia data unatakiwa ujue software ya kuingizia data yaani unatengeneza templete ya kuingizia data halafu unaanza kuinginza

Mkuu nimekupata Hiyo stata ngoja nitafute ntaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah the same nadhani, SPSS,ndio nzuri zaidi, na ni rahisi kufanya data analysis, mi natumia sana spss katika kazi zangu pamoja na kusaidia wengine katika Data analysis
Iliuweze kujifunza data analysis anza kujifunza “scale of measurement “

Hii itakufanya ujue ni test gani utatumia kulingana na data ulizonazo.

Then soma test zenyewe like regression,t-test,chi-square, correlation utaelewa jinsi ya kufanya data analysis kwa urahisi. Nichek kwa email kwa msaada zaidi na nondo
henryest600@yahoo.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom