Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

Najiandaa kupigwa mzinga kipumbavu kabisa...

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,943
Reaction score
23,884
Wakuu hapa kuna single maza namuomba mchezo...

Niliwahi kula mara moja...

Sasa viashiria vyake vyoote...ni kuni 'bomu'...

Ananiambia huko aliko vyuma vimekaza...

...nawaza tu atataka sh.ngapi..

Tuombeane ..maana mi mwenyewe sina kitu.
 
Nimekumbushwa ahadi nliyoitoa nyuma...sikuitekeleza..

Dah..
 
Daaah kuna single mother nimemtongoza amekubali ila kaniambia inabidi nimtimizie mahitaji yake yy kama mtoto wa mjini ili aweze kuishi ,ni kudanga hawa watu balaaa
 
Wakuu ngoja ni screenshot a little part of our conversation....

Mnaweza mkajitolea kunikopesha.....
IMG_20180114_083501_803.jpg

Nisaidieni nijibuje hapo...msg yake ya mwisho hiyo..
 
Wakuu hapa kuna single maza namuomba mchezo...

Niliwahi kula mara moja...

Sasa viashiria vyake vyoote...ni kuni 'bomu'...

Ananiambia huko aliko vyuma vimekaza...

...nawaza tu atataka sh.ngapi..

Tuombeane ..maana mi mwenyewe sina kitu.
Kama huna mwambie huna basi.
Atachukia lakini mwishowe atakuelewa.
Lakini kama una chochote msaidie kiroho safi kabisa
 
Mnafik huwa anajulikana tu tena kweupeeee!!!!
Mlipo peana namba hukutushirikisha
Sasa umekosa unachotaka kwake
Unakuja na gea ati unataka kupigwa bomu,,japo unadai ati umemla lkn hilo hatuliamini
Kwasababu mlaji huwa hasemi...
 
Wakuu hapa kuna single maza namuomba mchezo...

Niliwahi kula mara moja...

Sasa viashiria vyake vyoote...ni kuni 'bomu'...

Ananiambia huko aliko vyuma vimekaza...

...nawaza tu atataka sh.ngapi..

Tuombeane ..maana mi mwenyewe sina kitu.
......Anglia mkuu uxje pgw kibom cha hatriiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom