Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,627
- 22,550
Maxmum bei ya kujenga chemba moja(kila chemba) na kuseti mabomba ya maji taka ni bei gani?Gharama inategemea na kazi yenyewe mkuu.
Kuna sehemu unaitwa ukajenge chemba tu fund bomba ameshaseti bomba, hapa bei inakuwa chini.
Ila kama naanza kuset bimba mwenyewe bei inakuwa juu kuliko awali.