Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

IMG_20250923_164558_912.jpg
 
Chemba la kisasa ndio lina shimo juu kama mtego wa tembo ????

Mtoto anakimbia akavunja mguu au akapiga kichwa akafia mazima ndani ya li shimo utamlipa fidia ????

We Engineer, kitu cha kisasa hapo ni kipiiiiiii ????
🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo mkuu ulitaka niweke mboo uje ukalie ndiyo Usasa 🤣🤣
 
Nije kukalia mboo ?

Sasa umeona madhara ya kujaribu kutapeli watu wenye upeo mkubwa kukuzidi ?

Chemba utadhani kibwawa cha kufugia perege. Tulikuwa tunavijenga utotoni kufugia visamaki.

Kujua kuchanganya simenti sio ndo umejua kujenga chemba.
 
Mkuu naomba namba Yako ikitokea kazi uje nikupe hata kazi ya saidia fundi unisogee tofali
 
Nije kukalia mboo ?

Sasa umeona madhara ya kujaribu kutapeli watu wenye upeo mkubwa kukuzidi ?

Chemba utadhani kibwawa cha kufugia perege. Tulikuwa tunavijenga utotoni kufugia visamaki.

Kujua kuchanganya simenti sio ndo umejua kujenga chemba.
Usipanik kaka mitandao tu hii 🤣
 
Hapo kweli ni 'za kisasa' maana ukiangusha kitu bafuni kikazolewa na maji utakiokota chemba.
Unajenga kwa bei gani? (Mchanganuo materials kwa nani).
Gharama inategemea na kazi yenyewe mkuu.
Kuna sehemu unaitwa ukajenge chemba tu fund bomba ameshaseti bomba, hapa bei inakuwa chini.
Ila kama naanza kuset bimba mwenyewe bei inakuwa juu kuliko awali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom