Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

Mary Glory.......umetuacha gizani wenzio ujue.....fafanua basi kidogo tuelewe
 
kimafumbo ila imeeleweka. usiwe wa kulipiza visasi, endelea na moyo wako huo huo wa kuishinda nafsi yako. ila kama unaona hafai, ni bora uchomoke mapemaaa.
 
unakunywa nini dada Mary....
Yaweza kuwa viloba,,,,,,,,, vinabanjua kichwa vibayabaya
Lkn tuache utani dada,, hayo mawazo ya halufu ya damu achan nayo kabisa. Kwanini usiondoke tu, uendelee kuishi kwa amani humu duniani? Ukiua utakwenda kubaya na wewe unajua hili ila basi tu unatujaribu
 
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!
ebu acha mkwara,sema shida yako 2kusave kuita2a.
 
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!
limfaalo mtu lake na vivyo hivyo lisilofaa ni lako pia,alhamdulilaah muumba kakupa kila kitu kimfaacho mwanadamu timamu, unaamka na unalala pia unaona kusikia na hisia vile vile wazijua.Tunaweza kukupeleka mtoni na usinywe maji tutakuwa tumeshindwa kukusaidia.Jambo la maana kumbuka umezaliwa na utakufa na kila ufanyalo eti iwe kwa wadhifa, sifa, hasira au kiburi ni hakika utavilipa hapa hapa,huyo akusumbuaye si ngozi wala si moyo ati ukitoa utakufa. Jipange na ufanye maamuzi ya busara.Kumbuka we ni bado kijana na jamii na familia zinategemea ushauri wako.
 
mhh nilidhani unatania.....wamungu huwezwa na mungu kwanini usikae nae mbali tu yaishe,halafu kumbe ni mwanachama mwenzetu jamani mtaje jina basi!
 
mhh kweli unawehuka.....nakumbuka bint fulani tulisomaga nae bweni basi kikitimka anadai kuna mkaka anamlala sijui anamfanya nini...usikute ndo weye,ulisoma Masama girls nini!
Kama ni she yatakukuta tu!
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
Thread nyingine bhana!! nilifanyiwa ubaya kutokana na kujaribiwa ubaya unaendelea ubaya nikamfanyia ubaya kha!! ......
 
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!
Jitahidi kutujuza Dada tunaweza kuwa na msaada wa kimawazo. Hiyo harufu ya damu siyo nzuri kabisa maana hakuna linaloshindikana. Hakika mwenye kufanya mashauriano hawezi kujuta hebu jaribu uone.
 
Back
Top Bottom