Hatimae leo nimeifuta GAME OF THRONE(GOT) na nimeingiza VIKINGS katika PC yangu yenye space ndogo sana

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,789
8,492
Wakuu mbali mbali niende moja kwa moja kwenye mada.

Mimi ni mpenzi mkubwa wa hii tv show inayofahamika kama GOT na ninaamini ni series bora ya muda wote tangu kuumbwa kwa Adam(mawazo yangu). Nimekwisha imaliza lakin still nimeirudia rudia sana, lakin leo hii nimeifuta na kuweka Vikings.

Anyway ilikuwa taarifa tu hata sio uzi.
 
“just give a name and the man will do the rest”
 
Hiyo GOT si ndo ile ina minyama mikubwa kubwa ya kufikirika, series karibia nusu inafanyiwa studio(VFX). Au kuna nyingine?
 
mkuu PC yako ina ukubwa gani storage
kwann upate tabu ya kufutafuta vitu wkt HARDDISK zipo kwangu kwa bei nafuu
nicheck 0620552992
 
Vikings ni movie yangu bora katika historical movie
Nimeangalia season 1 yote yaani ni movie ya kiduanzi kwel kweli.

1.Maongez yao yakiboya yaan hamna kauli za kibabe kama za kwenye GOT
2.Setting yao ya kiboya zaid, yaani movie nzima muda wote unaona character wa 4 wanao jirudia kila muda (Regnar othorbrok, lord)

Hamna movie hapa ni ushubwada tu.

Bora niwe narudia GOT tu maana huwa sichoki.

"If you think this ha happy ending tyou haven't been paying attention" RAMSAY BOLTON
 
Mkuu GOT na Vikings zipo tofauti sana lakini zote ni nzuri
Ina wezekana tu ulikua unaangalia Vikings huku ukilinganisha na kutarajia kuona yaliomo kwenye GOT
Hili ni KOSA kubwa sana na linasababisha mara nyingi kushindwa kufurahia movie/series nje ya zile ulizo zipenda sanaa

Binafsi nilikua sio mpenzi kabisa wa series, nikaahawishika na kuangalia 24hrs, niliipenda sana nikaanza kutafuta nyingine kama 24hr
Nikaambiwa angalaia HOMELAND yaani season ya kwanza tu katikati ikanishinda sababu nilikua nataka kuona makashi kashi kama ya 24hr,
Nikajaribu Lost ikanishinda pia

Baadae nikapata somo kwamba kila movie/seriea ina uzuri wake inatakiwa uiangalie bila kuanza kufanya ulinganifu...... hata kama haitakua kali lakini uta enjoy

Vikings ni bonge moja la series na ni simulizi za aina ya maisha ya kweli ”historical” kuwa kutokea japo kuna mbwembwe za kisinema

Anza upya iangalie kwa kutulia fuatilia plot na sio kutaka wingi wa characters mkuu, utapata historia nzuri sana ya jinsi haya majamaa ya ukanda wa Scandinavia yanayoitwa Vikings majitu yaliokua hayajaendelea yanayo amini imani za miungu ya ajabu lakini yakaweza kwenda kuvamia tawaka kubwa za ulaya zilizokua zimeendele na zipo organized na kuzisumbua sana sana

Ukifika huko mbele character na plot zitapanuka zaidi
Nahakika utabadili maoni yako na siku ya kufa tutakuna VALAHALA

Ukimaliza hiyo angalia na The Last King Dom nayo ina maudhui ya Vikings
 
Ok mkuu ngoja nikapambane
 
Mkuu hakika umenena aise, GOT ni series nzuri sana ila ni fiction movies mambo kalibia mambo yote sio harisi ila Vikings ni historical movie karibia mambo yote niayakweli miaka ya nyuma kabla ya movie jamaa yangu alikuwa anakakitabu fulani kakiswahili kanawaelezea hawa vikings kuwa walikuwa wanautaalamu wakutengeneza mali na walikuwa na nguvu sana walizitesa sana tawala za ulaya pia wao waliwai fika bala la america kabla ya clumbazi nilivo ona movie yao nilifurahi sana.
kwa msaada zaidi ingia google andika vikings utaona historia yao kwa kiswahili kabisa inaweza kukupa mwanga
 
Back
Top Bottom