unavosema mapenzi yamekolea balaaa unamaanisha umependa kote kote yani sio ngono tu....
wanawake wanapenda sana adventure so.... hyu demu wako wa zamani kakupa sifa za maana kwa hao mashoga zake... so hao mashoga zake ndo wanataka kuonja kweli yaliyosemwa yamo!!
stick na wa kwanza... ndo aliyekupenda kwanza hao wengine wanafata waliyoyasikia
Next time ukumbuke ku-summerize maana mkasa uko chin uku uko juu sijaona kitu.....kama unaomba ushauri basi m nashauri yeyote comes to your way kwa maana ya ao cjui n watatu fanya yako....May be its your time ...make it to the fullest
Daaaaaaaaah
Shetani anakula vichwa mwanzo mwenga.
KAZI NI KWAKO
Yaani kama Vodacom vile
Juu ya yote acha ubazazi.
Jipange uoe uachane na ukapera wa kufanza uasherati daily.
Tubu dhambi zako umrudie Muumba wako.
Ndipo Amani itakapokujilia
Sawa mkuu ndio maana nimeomba ushauri wenu nna malengo ya kuwa na familia tena siyo ya uzinzi wala michepuko
Waoneshe kwamba unauhusiano na mwenzao bayana ili hao wengine wakae mbali na wewe.Sijaelewa hapa mkuu
Daaaaaaaaah
Shetani anakula vichwa mwanzo mwenga.
KAZI NI KWAKO
Yaani kama Vodacom vile
Juu ya yote acha ubazazi.
Jipange uoe uachane na ukapera wa kufanza uasherati daily.
Tubu dhambi zako umrudie Muumba wako.
Ndipo Amani itakapokujilia