Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Umejaribiwa, Ukajaribika.
Vaa miwani ya mbao naendelea kuwavua chupi kila siku.
W
Vaa miwani ya mbao naendelea kuwavua chupi kila siku.
W
Kuna riwaya fulani ya mtunzi IRENE MWAMFUPE,nimesahau jina tu nikikumbuka nitakuambia,isome vizuri sana maana inafanana kila kitu na mkasa wako
Kama sikosei itakuwa ile MAJANGA MBONA MAJANGA
Ewaaaa!!hiyo hiyo ahsante kwa kunikumbusha mkuu
Lwenyi mbona unajishusha thamani kiasi hiki. Unaona kabisa tanzi linakuja na ndani ya tanzi kuna mtego, wewe ni kijana hb, decent mwenye nguvu , afya njema , akili na utashi unaendekeza ngono zembe kama mbwa kaona chatu, kwa nini?
Nilikuwa na mwalimu wangu mmoja alikuwa anawaambia wanafunzi wakijibu vibaya, are you using scrotum to think? Lwenyi you must be strong kushinda tamaa za mwili ukiziendekeza utakwenda na maji.
Unauwezo wa kufanya kazi zako vizuri kwa utaratibu makini na kujiandaa vema kisha kupata binti safi kabisa utengeneze familia. Hayo tanzi achana nao kabisa. Jitathmini upya ujenge maisha yako.
Heeeeeee nami nakwambia km ulivyokuwa unamwambia KAZI NI KWAKO
Wote wananiambia mm hb, mrefu & decent
Hela sina mkuu nnazo za kula tu
Hii ni kweli kbs tena sujaweka detail nyingi maana ningekua na hadithi ndefu sana aysee
Heeeeeee nami nakwambia km ulivyokuwa unamwambia KAZI NI KWAKO