Jichunge ndugu kuna UKIMWI.Wanajua fika na yeye anafanya kila kitu watu wanaona na hapo ndipo kwenye ttzo they dont care hilo
Daaaaaaaaah
Shetani anakula vichwa mwanzo mwenga.
KAZI NI KWAKO
Yaani kama Vodacom vile
Juu ya yote acha ubazazi.
Jipange uoe uachane na ukapera wa kufanza uasherati daily.
Tubu dhambi zako umrudie Muumba wako.
Ndipo Amani itakapokujilia
Aaaah wanakujaribu, Sasa sikia weka mfupa wa nguruwe hapo mlangoni kwako utaona kama watakusumbua tena
Nasema yamekolea kwake yaani ni ananifanyia almost kila kitu kwakweli.
Shukran kwa ushauri nitajitahdi niwaepuke hawa wengine ingawa yaan ni ngumu mnoo kwa mazingira wanayoniwekea
Kazi ni kwako....
Kama all you want is sex and you care less about its consequences in your relationship then give them what they've been asking for...
If on the other hand you wanna be a 'nice' guy then refrain from doing so.
Whichever path you choose, proceed with caution. I sense a trap that you are already halfway into.
Mkuu hii nyumba ni karibu na kwenye shughuli zangu na isitoshe terms zake ziko favourable sana kwangu[/QUOTE
Hiyo nyumba naona una bahati nayo
si ajabu na mke utapata hapohapo
kwa mwenendo huu.
Thank you for the advice
If all i want is sex then i could hav slept with all of them long ago
But i still want to preserve my reputation & all i want is the way i can escape the rest.
nilitaka nijue kwa kauli zako, maana ungekuwa mwanume usingeomba ushauri kwa jambo hilo.....Mkuu soma uzi vizuri utajua jinsi yangu