Najaribiwa jamani

Najaribiwa jamani

Mh huyo wakwanza balaa lake ushaliona! Wapotezee wote endelea na uliyenaye kabla hujahamia hapo au ndo umebadilisha mazingira na demu unabadilisha????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!'!!!!!!
 
Mkuu niliyekua naye kabla walinipora wakaoa now nilipohamia hapa nilikua na project in progress ila inanata sanaaa na mpaka nimejitoa kwenye race
 
Aah LWENYI katika ubora wake!!! Kazi kwako!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu niliyekua naye kabla walinipora wakaoa now nilipohamia hapa nilikua na project in progress ila inanata sanaaa na mpaka nimejitoa kwenye race

Ahaaa kumbe!! Sasa niwambie kitu ACHANA NA WOTE HAO tafuta mwingine ambae hamko Karibu ( one house)
 
tafuta project ya mbali na hapo mkuu hao potezea mazima wasikugande kidwanzi au useme kama unataka uwaonje wote
 
Habari wana MMU,

Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa ingawa ni msomaji mzuri sana wa mada mbali mbali za jukwaa hili kwa muda mrefu, leo naombeni na mimi mnishauri kwa haya yanayonitokea. Ni hivi, kuna sehemu nimepanga wakati nimefika hali ilikua shwari wapangaji wote walikua wa kiume kwahiyo kila mtu alikua akija na project zake from outside vivyo hivyo na mimi pia. Miezi kadhaa baadae wakaja wapangaji wa kike na ndipo vitimbi vilipoanza.

Kuna mdada alikuja akanipenda from day one akataka niwe rafiki yake ila akisisitiza ana mtu wake na mimi sikuona tatizo nikawa naye jirani akiniomba ushauri na kuonyesha care za juu sana kwangu ila sikutaka kutia shaka. Tukakaa muda akiniletea zawadi za hapa na pale na mimi nilizipokea kwa moyo wa amani sana.

Miezi kadhaa baadae akaniita room kwake nikakuta analia sana akanieleza kuwa boyfriand wake kamuacha na hataki tena wanaume ila mimi siyo wa wasichana sana na toka aje hajawahi kuona nimeleta msichana chumbani kwangu. Akanililia pale nikamfariji yakapita. Siku kadhaa baadae akaja na boyfriand mpya ingawa akaniambia anataka amsahau yule wa kwanza kwa kupata kipya nikasema kazi kwako.

Miezi kadhaa wakaachana ndipo alipoanza kuonyesha dalili flani kwangu za ndani kidogo ila mimi sikutaka kutupa ndoana yangu kabisa, kuna mpangaji mwenzangu akaanza kummendea msichana akaja akanipa stori nzima na mimi kama kawa nikamwambia kazi kwako. Akawa anakaa na yule jamaa huku akiniongelea mimi stori ni nyingi sana.

Sasa mada kuu ni hii ya siku za karibuni alisafiri kidogo wakati anarudi akakuta nipo, yule mpangaji mwenzangu akampokea lakini swali la kwanza ilikua ni mimi niko wapi? Akaambiwa nipo ndani akafikisha mizigo kwake na dakika chache akaja na zawadi mkononi na lawama za kwanini sitaki kumpokea.

Nikajitetea sikusikia kama umefika akasema najua hunipendi ila mimi nitajipendekeza tu hata iweje nikaona hapa kuna kitu ila sikuwa tayari kuwa naahisiano na yeye. Tumekaa kidogo akaja na rafiki zake wawili wakawa wanaishi wote cha ajabu wote wakanipenda bure nikachukulia poa pia sasa sikuwa na mpango wa kuwa na msichana pale.

Sasa wiki kadhaa zilizopita waliniita room kwao yeye akawa mzungumzaji mkuu na lawama zilikua ni kwamba mimi najifanya kipofu sioni alinipenda since day one na sikuonyesha kutaka kutake over na hawezi kuishi bila mimi kwahiyo wenzake wamsaidie nilisema ok nilifanyia kazi swala hili. Cha ajabu kesho yake room mate wake kaja kanichana live kuwa yeye pia ananipenda kwahiyo kazi kwangu kuchambua mchele.

Yule wa tatu naye ananiita majina ya kiuchokozi na sijajua nia yake nini, sasa kupunguza aibu nikaita yule wa zamani nikamgegeda, sasa mapenzi yamekolea balaa vitimbi vinaanza asipokuwepo yule aliyenichanaga anakuja na mitego ya ajabu sanaa na nakaribia kushindwa kuvumilia. Mbaya zaidi naanza kuona kutokuelewana baina yao wote watatu wanazozana siyo kama zamani na wote wanapenda kushinda na mimi.

Nishaurini wakuu nifanyaje?

Hi Lwenyi, hope all is well..
Kwanza kabisa the way you presented this issue of yours shows that there is some sense in your head. Its shows maturity in you. Inaonekana you have your life pulled together na upo vizuri. Kwanza kabisa DONT let these three girls ruin you. Cause what you are upto is destruction. I think hata usingemgegeda huo mmoja wao in the first place lakini kibinadamu kuna kuteleza.

Mi naona kama vile hawa wadada sio hadhi yako.kwasababu unastahili kua na mtu anaejielewa kama wewe.mdada anaejielewa hawezi kumtamani mwanaume ambae ametembea na rafiki yake. Yani hii imeonyesha kua wana tabia mbaya.
Achana nao wote watatu NOW before its too late. hata ukisema unampenda huyo mmoja ambae umeshamgegeda as you say it hamtakua na a peaceful relationship cause kuna third parties involved.
Dont ruin your reputation kwa vitu vya mda mfupi bwana inaonekana your way better than that. at times sisi wanawake tunaweza tukawa waaribifu sana so kua makini sana.kila mwanamke anataka that perfect guy in whatever way possibe so kua makini sana.

Pole kwa gazeti ila nimejitahidi kufupisha. Have a good productive day pal
 
Hama nyumba haraka, ikiwezekana hama na mtaa kabisa, ukiendelea kuishi nao hapo wanaweza kuzua timbwili la mwaka. Mkuu tena hama kimya kimya. Na kwanza hao wadada wanafanya shughili gani ama ni watu wa kona bar? Chukua tahadhari sana na achana nao wote
 
wapige tigo hao mademu wote....then watakupenda zaidi na kukuheshimu
 
Mkuu hii nyumba ni karibu na kwenye shughuli zangu na isitoshe terms zake ziko favourable sana kwangu

Mambo mengine bwana yani wanawake watatu wanakaa nyumba moja wanakupenda umeisha mgegeda mmoja wengine nao wanataka wewe kama mwanaume umeshindwa kusolve hilo tu,unaomba ushauri ufanyeje?wamekubaka?mwisho wa siku ukiwa na familia kila jambo utakuwa unaomba ushauri humu au?be a man.labda una lingine maana sioni unapopata ugumu ni wapi.
 
Hi Lwenyi, hope all is well..
Kwanza kabisa the way you presented this issue of yours shows that there is some sense in your head. Its shows maturity in you. Inaonekana you have your life pulled together na upo vizuri. Kwanza kabisa DONT let these three girls ruin you. Cause what you are upto is destruction. I think hata usingemgegeda huo mmoja wao in the first place lakini kibinadamu kuna kuteleza.

Mi naona kama vile hawa wadada sio hadhi yako.kwasababu unastahili kua na mtu anaejielewa kama wewe.mdada anaejielewa hawezi kumtamani mwanaume ambae ametembea na rafiki yake. Yani hii imeonyesha kua wana tabia mbaya.
Achana nao wote watatu NOW before its too late. hata ukisema unampenda huyo mmoja ambae umeshamgegeda as you say it hamtakua na a peaceful relationship cause kuna third parties involved.
Dont ruin your reputation kwa vitu vya mda mfupi bwana inaonekana your way better than that. at times sisi wanawake tunaweza tukawa waaribifu sana so kua makini sana.kila mwanamke anataka that perfect guy in whatever way possibe so kua makini sana.

Pole kwa gazeti ila nimejitahidi kufupisha. Have a good productive day pal

Asante sana mkuu kwa maneno yako ya busara sana nashukuru ushauri huu nimeanza kuufanyia kazi taratibu na najiandaa kufanya maamuzi magumu kwa faida yangu na yao pia
 
Mambo mengine bwana yani wanawake watatu wanakaa nyumba moja wanakupenda umeisha mgegeda mmoja wengine nao wanataka wewe kama mwanaume umeshindwa kusolve hilo tu,unaomba ushauri ufanyeje?wamekubaka?mwisho wa siku ukiwa na familia kila jambo utakuwa unaomba ushauri humu au?be a man.labda una lingine maana sioni unapopata ugumu ni wapi.

Mkuu hakuna aliye mkamilifu kuna wakati akili inafika kikomo kufikiri kiasi hata moja kujumlisha moja unaweza sema ni kumi mtu anapoomba ushauri anaweza kuwa na jibu lake na anataka apate uzoefu wa watu wengine waliowahi kupitia hayo na walivoweza kuyatatua kiungwana kwahiyo sidhani kama ni dhambi mkuu wangu
 
Back
Top Bottom