Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,728
- 5,445
😊😊 Mother Confessor size yangu pendwa ilikuwa Jambo katikatiiiii!Duh,ulikuwa unatumia jambo kubwa,jambo katikati au jambo ndogo..!?
Jamani naiulizia lotion ya Jambo ambayo ilikuwa maarufu miaka ya 2000. Niliitumia na niliikubali kwa kiasi kikubwa. Lakini bahati mbaya sijaitia machoni siku nyingi. Je, bado ipo na inapatikana wapi?
Situmii kilevi aina yoyote ndugu. Kinywaji changu pendwa ni kahawa na sharubati (juice) ya ukwajuMkuu bila shaka hata bia unayokunywa ni Bingwa
Kampuni zetu huwa hazivuki miaka 50 ukifananisha na wenzetu ambapo kampuni inazalisha bidhaa hata kama muanzilishi kafa ila wanaendeleza wengine
View attachment 1814697
Actually bado ipo mbona naitumia mm
Haya naomba maelekezo tafadhali, naipata wapi?View attachment 1814697
Actually bado ipo mbona naitumia mm
View attachment 1814697
Actually bado ipo mbona naitumia mm
We jamaa wewe jambo ilikua bluu toka lini? Una uhakika???Jambo zilikuwa kwenye kopo kama la blue hivi ,hizo za kijani sijawai kuziona.
Sweat heart lotion nazo za kitambo.
Mafuta ya Rays!
Mimi nimeanza kuitumia kabla ya mwaka 2000 kwa nnavyokumbuka, mpaka leo hiiOoh
Inaweza kuwa na miaka mingi basi
Unaweza kukisia umri wake mkuu
Zipo madukani tu. Mimi nanunuaga maduka ya mangi tu nnapofanya shoppingHaya naomba maelekezo tafadhali, naipata wapi?
Ngoja nianze kuisakaZipo madukani tu. Mimi nanunuaga maduka ya mangi tu nnapofanya shopping