Naitwa Lusile!!!


Kumbe ndio zako kukagua waliorehemiwa
 
Njoo kwenye white Party utapata dhawadi yako

hahahaaaa....!!!. wewe ni Smile?. kama ndivyo basi tujiandae vizuri na hii party coz itajaa manewcomer with fake id's. member wa dar es salaam sijui nani kawaloga!. mia.
 
Last edited by a moderator:
Bi shostito upo?
Nimeona nikufuate huku huku maana umeadimika kitaani

hakyamungu wewe ni mwenyeji mitaa yote inaijua..
Ha mgeni gani hauna kamba mguuni???
 
Hiyo ndio kazi yangu mpya niliyopewa na ODM na wewe sema Aminaaaa!!

Hapana sisemi amina..Mimi sitaki uzeeke vibaya kama huyo babu yako ODM..Wewe hufananii kabisa hiyo kazi inamfaa Nicas Mtei .Rudisha mikoba yake aliyokurithisha.
 
Last edited by a moderator:
Karibu karibu karibu nikuharibu ukasimulie,
mashairi yangu hayalali kwa maduu,
kidume mwenyewe sina makuu,
sijawahi kupenda wala kutendwa,
nipo ktk majaribio,
jaribu nikuharibu nikutibu kama tabibu.........

E bana eeeeeeee,,,,,,,,,,,,,heri ya mwaka mpyaaaa2013,
karibu sana lusile the adorable one!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…