Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Hahaha...utamfanya akimbie faster, hivi hajui kuwa jina lake limeandikwa kwa chaki kwenye server za JF
????????????
Nimegonga Ikulu..........!!!!!!!
Wer......Weraaaaaaaaaaaaaaaaa....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila Siri yetu shosti.
Mana yake Mijanaume ya humu ilivokutolea macho, utadhani umekatiza mbele yao bila upande wa nguo.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEE......................
Mweh, Basi kama imekuwa nongwa siji!
Yaani humu watu kujifanya wabashiri sijui mtakua lini.
Mie naijua JF kitambo tu na nimekuwa nikisoma sana mada za humu kama guest, lakini mwaka huu nikapanga nijiunge rasmi na leo ndo nimejiunga, lakini mnataka kunitoboa vidole vya macho.
Basi sitakuja viroho viwatue.
Ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Kijana sasa kumbe umeshakuwa. Mwambie atende kama ulivyonena.......:mwaaah:hizi ni picha tu hata kwenye kalenda zipo...jinalo ni la Kibantu hivyo ni ngumu kujua...haya jiandae kwa ukaguzi kama wewe ni kimobitel basi babu Asprin atakuja ku du ze nidful, ila kama wewe Mungu kakujaalia rehema zake basi kazi hiyo nitaifanya mwenyewe kwa hisani ya ODM...
Ewaaaaaaaaaaaaaa! Hebu mwambie Lusile a caome this way tafazali.....We njoo tu, walikuja wengi tena kwa.mikwara zaidi yako leo wamelowaaaa, kwanza subiri ukaguliwe kidijitali na babu ODM Asprin
Nyie si ndio mnanichokoza.
Eti mgeni gani ashaijua hadi white party!?? ngoja nimuite best yangu Invisible a du ze nidful kama ilivyofanyika kwa zubedayo_mchuzi alias @zologwa_mbabe. mtaona