Naitwa Lusile!!!

mkuu sijui jinsia yake haijaamia dijitali au ni haka ka seksi ditekta kangu kameisha betri...

hapa kichaa kakabidhiwa rungu. Tunashindwa kuelewa ni mcheza show au ni mlinzi
 
Mie sina ID nyengine, lakini nilikuwa nasoma sana huu mtandao, leo ndo nimeona nijiunge rasmi, na mtu wangu wa karibu aliyenialika ni ....... My Hubby

Sawa karibu sana....wageni wote huwa wanareport kwangu....mie ndio mwenye JF ukinikorofisha nakufuta mara moja....kopi kwa Baba V na watu8....
 
Last edited by a moderator:
Umepona! halafu ulikuwa unatupiga mkwara ehh...!

Ukajua nitakuwa sisomi na ndo mana unaanza kuwapokea wageni kwa Mbwembwe na vifijo eeeeee......
Taipata jeuri yako likiingia giza.
 
mimi sio muongo, White Party ni sehemu nzuri sana ya kutukutanisha wana member, leo unalipa mchango kwa ID ya Lusile wakati una ID yako nzuri tuliyo ipenda na tulipenda tukufahamu. Mnafanya sivyo bwana, kwaiyo kama na mie manoah sitaki mnjiue nianzishe ID ya noahism ili niendele kutokujilakana hata huko kwenye white party?
Acha Urongo
 

Mweh, Basi kama imekuwa nongwa siji!
Yaani humu watu kujifanya wabashiri sijui mtakua lini.
Mie naijua JF kitambo tu na nimekuwa nikisoma sana mada za humu kama guest, lakini mwaka huu nikapanga nijiunge rasmi na leo ndo nimejiunga, lakini mnataka kunitoboa vidole vya macho.

Basi sitakuja viroho viwatue.
 
Hata weye huniamini?

Maana nashangaa, Mgeni gani umechangamka hivo Khaaaaaa...........
Mi nina wasi wasi na ishu moja hivi, ila ngoja kwanza niichunguze.
Ila jana ulufika salama home?
 
ID mpya kwa ajili ya white party, watu hawataki kutumia ID zao original ili waendelee kuto kutambulika hata mtaani.

Post of the day manoah! Umemshika pabaya mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…