naitaji N+ certificate

naitaji N+ certificate

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
ndugu zangu mimi ni network na computer technician
nimepata kazi nzuri lakini nilikuwa sija certify ili nipate certificate
naomba kama kuna mtu anaweza saidia hiyo
dunia ndivyo ilivyo
 
Inabidi ufanye mtihani online ndugu yangu ndio upate hicho cheti na si vinginevyo.
 
nini exactly? naeza kukusaidia links za video.

ndugu yangu red:
nimepata kazi ya kufanya network 120 points
mimi ni technician na nina exprience lakini nilikuwa sijafanya exam niwe certified
jamaa wanataka niwaonyeshe chect wanipe green light
muda haupo upande wangu
 
another trick: cant believe im doin this!!!

search forums ya ambao wamefanya paper recently, wataeka few questions wanayokumbuka na answers then soma hizo. Nenda kuregister, fanya paper. it will work kama system haijabadilishwa! umefahamu?

warning:
the idea im giving u, is the worst idea of all!
 
mkuu red nashukuru,
naomba nipe walau forum moja ya hizo
 
mkuu red nashukuru,
naomba nipe walau forum moja ya hizo

giving the bad idea was enough. I think my son ushakuwa enough, now go do the rest of the work! i have faith in you ndo maana ukaajiriwa. now show them that u really deserve it! [you never know, I might be your boss!]
 
thank you sir
 
Jamaa wanakumulikia tochi sasa wewe fuata njia episodes. Do your homework. Kama mtaalamu wa mambo ya mtandao unatakiwa uchachalike mtandaoni! Tafuta mwenyewe kila kitu kipo ni wewe tu!
 
nimeenda pirate bay nimepata hii!No input file specified

mkuuu nenda hapa Train Signal Cisco CCNA Training Videos (download torrent) - TPB

Hiyo ni moja ya video zao ti ni 1.2 GB. So unaweza kwenda Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site then utatype raing singal au cosuse unayotaka tena ukaipakua

Au nenda hapa TrainSignal - Computer Training Videos - Microsoft, VMware, Cisco, CompTIA & more! alafu tafuta jina la training unayotaka . ukishajua jina la training unayotaka nenda kule pirate bay kaitafute bure.

Mfano training ya compita network hii hapa http://thepiratebay.org/torrent/5151239/CompTIA_Network_Plus_Training_Videos

But kama una pesa waunge mkono wapate nguvu huna haja ya kwenda kuchakachua
 
Back
Top Bottom