naitaji mume wa kuoa ASP

sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
Kwani kufanya sex mara nyingi huanzia ngapi? Anyway subiri mpaka wenye hizo sifa watakapowaacha wake zao ndipo waje kukuoa partially used from japan (inasoma kilomita ngapi?).
 
Ila mimi ai jua mwanaume mwenye sifa hizo hana hata muda wakusoma e.mail achilia mbali kuingia forums wenye pesa wako busy mama
 
Last edited by a moderator:
Wasn't my intention upaliwe, ila kukuchekesha ndicho nilichopania.

Ila seriously, umedo more than 3 times halafu unasema partialy virgin.

Inawezekana watoboaji walitoboa nusu, nusu akabana kumtamanisha mwenye magari.
 
nina hakika hata darasani huna kitu wewe ulipitapita tu...
maana unaonesha huwezi tafuta unataka utafutiwe tafuta wagane wapo!
au nipe no yako nikuunganishe na dingi yangu mie anakidhi vigezo vyako
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times

Duuh! Hapo kwenye HIV ndo pagumu kwangu, mi niko POSTIVE. vigezo vingine vyote niko pouwa.
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times

ndoa hata ya mkeka,huchukua zaidi ya wiki moja...maana maandalizi yake ya kupiga timing...ya kuwaandaa watu wa kuwafungisha,na jinsi ya kuwakamata live ili wawafungishe lazima ichukue zaidi ya wiki kadhaa...so it is either u are not serious and tries to make some humour or u have some serious underlying psychological problem...go and get attention of pyschologists and u will get relief...try to examine your situation and get insight of your problem...alamsiki
 
Back
Top Bottom