naitaji mume wa kuoa ASP

sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe hiv negative naogopa ukimwi kuliko chochote
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
uhanhitaji mwanaume wa kuoa
 
Kuna jini liko mahali limesoma kila kitu, litakuja lenyewe wala uhitaji kulialika kwa maana umeshasema mwenyewe. Andaa ndoa tu. teh tehteh
 
​unataka mume wa kumuoa??????????
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
 
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
Inanikera sana hii nyie akina dada wapumbafu kabisa, mbona mama zetu waliolewa wengine hawajafika hata lasaba wakati baba zetu baadhi walikuwa wamesoma na kazi zao lakin walioana na wakamake maisha?
aliyewaambia kuwa ndani ya ndoa wanaishi na magari na pesa nani? Ndoa ni zaidi ya material things, mfano unafahamu kuwa kuna watu wameolewa na watu wenye pesa lakin wana date na maskini?
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times

Unataka kuoa au kuolewa?
 
Huko kwenye telecom company hujawapata? Kwa nini?
Huyo mwanaume wa magari, nyumba na familia bora kama ulivosema ni mume wa mtu tayari.
Tafuta wa kwako........Kichwa ulichopewa sio nazi.
Kama hajakuelewa ndio basi!
Wadada wengi hawana mapenzi ya kweli bali mapenzi ya mali.
Fedha na magari vinahusika vipi na mapenzi?
Huyo dada afadhali aamue kama Smile, mume aje au asije, life must goes on. Na ijulikane rasmi kuwa sio wote wameitwa kuwa na ndoa, NDOA ni WITO!
 
Tamaa tupu,inavyoonekana hata neno la mungu hulijui...acha kuishi kama mbuzi,badilika wewe!
 
Inaonekana mtoa uzi amepatwa na maswahibu mazito sehemu,si bure! yamkini anataka kulipiza jambo sehem fulani kwa aliye mtarget.
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe hiv negative naogopa ukimwi kuliko chochote
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
mimi niko tayari,nina umri wa miaka 92,na gari aina ya corrola
 
Kama hajakuelewa ndio basi!
Wadada wengi hawana mapenzi ya kweli bali mapenzi ya mali.
Fedha na magari vinahusika vipi na mapenzi?
Huyo dada afadhali aamue kama Smile, mume aje au asije, life must goes on. Na ijulikane rasmi kuwa sio wote wameitwa kuwa na ndoa, NDOA ni WITO!
aiseee watakusikia wenyewe humu..nina mume bwana na ananipenda kuliko chochote futa hii commet yako mkuuu
 
Back
Top Bottom