Naishi naye ndio, Lakini...


Kwa ufupi mke ni huyo uliyenae ndani, huyo mwingine ni mwigizaji tu.

Take my word bro.....

Utakuja kujuta maishani mwako ukimwacha mkeo ukakimbilia malengo ya mbali.
 
Duuuh,c ungemwaga nje jmn mbona mnapenda kavu half mnamwagia ndani ...heheheheeeee.....ila huo n msala mzito mzee....dadeq.....nmeshindwa nn nikushauri..komaa tu
 
Kama unampenda mtoto wako , oa mama yake.
Huyo mchumba wako unadhani amekusamehe ..ila anakuandalia kisasi. She will avenge ..haiwezekani akusamehe na bado unaendelea kuishi na huyo bibie.
Kwani mtoto si atalelewa hata na mchumba wake?? Au kuna umuhimu sana wa mtoto kulelewa ba his/her biological parents??
 
Mwambie ukweli tu wa mambo then mpangishie nyumba ili aishi na mtoto lakini pia mpe mtaji wa biashara ili asikutegemee sana
 
😀😀😀😀😀😀😀
 
Mkuu acha kuhangaika... Huyo ndio chaguo lako si mwingine.

Nimeishia hapo...
 
Yaani.. Halafu mwenzie nae anasubiri zamu yake kama ndege anasubiri mzoga
Huyo wa mwengine hana love ya ukweli anachohitaji yeye ndoa hakuna love ya hivyo mpenzi azae na mwanamke mwengine bado ubaki nae hapo anasubiri aingie kwenye ndoa ili ampige jamaa matukio.
 
"Sikuwahi kuwa na hisia na mwanamke huyu"
Inaonekana unatamaa, punguza hillo.
 
Usiishi na mwanamke usiyempenda eti kisa umezaa naye, Mwandalie Mazingira mazuri mama na mwanao halafu muoe haraka mwanamke wa ndoto zako ili uishi kwa furaha, Usitishwe na maneno hakuna revenge wala kisasi
Mimi pia ni muumini wa hicho ulicho-comment.

Tatizo huyu mtoa mada kakaa na mtoto wa watu miaka minne (jumlisha na kulea mimba) wakipika na kupakua. Ingekuwa ni kipindi kifupi kidogo ingeleta mantiki.
 
Mkuu historia yako kama yangu, mm nliona mschana enzi hizo yupk form six nikaona ameumbia vizuri. Baada ya miaka 2 nikatafta namba yake, mm nikiwa udsm yy akiwa chuo mkoani. Nikawa naongea naye nikaomba gem akatiki na kuniletea mzigo mabibo hostel. Badae nikagundua alishagegedwa na dogo, basi nikaamua kumpiga chini, ila nikawa nimecheleww maana alikuwa ashabeba mimba alipoona dalili za kibuti. Akazaa mtoto ila kibuti kilimhusu. Nikamove on ila akaja kuniletea mtoto akiwa na 8months kwamba nilee mwanangu. Ilibidi nitangaze ndoa bila kupenda, mpaka leo ni mke wangu. So dogo oa huyo usie mpenda ila yeye anakupenda, utaishi kwa amani sana kuliko kuoa mwanamke unayempenda afu yeye anakuchukulia poa
 
Duh! Wana mna majanga kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…