Naishi naye ndio, Lakini...

Aendeleaje sasa na maisha yake, wakati wewe kama baba wa mtoto ushakuwa part ya maisha yake.. We mtafutie makazi yeye na mtoto, kama hana hela mpe hela za kujikimu yeye na mtoto, mfungulie biashara kama hana elimu ili asiwe tegemezi sana kwako.. Then endelea na mambo yako ukitimiza hayo majukumu yako..
Tena umjengee tu yeye na mtoto, asije mtoto akawa homeless (your selfish pursuit of happiness should atleast have a cost)
If you perform your responsibility Sidhani kama kutokuwepo kwako kutamuhuzunisha sana kuliko kumuacha hana muelekeo..
 
Safii
 
bongo muvi wapo jamani hii ni bonge la muvi,naona ungesema tupendekeze jina gani la muvi hii kabambe ulioanzisha
 
Hakunaga mimba ya bahati mbaya, labda ubakwe au ukiwa umelewa, hata ya kulewa pia wakati mwingine naiweka kwenye uzembe, unafanya tendo ambalo unajua linaweza kupelekea kitu fulani, halafu unakuja kutuambia bahati mbaya
 
Unawezaje kuishi na mwanamke usompenda? Mi hayo naona sana kwa wanawake
 
endelea basi na stori ya roda
 
Haya ndio maamuzi ya kukurupuka baadae mnakuja anza isumbua jamii na wazazi wenu.
 
Karma sio kitu chepesi chepesi kihivyo..
 
Ili neno tena neno hasa
 
Itakua ni malengo ya kujenga SGR au kununua dream liner
 
Hakunaga mimba ya bahati mbaya, labda ubakwe au ukiwa umelewa, hata ya kulewa pia wakati mwingine naiweka kwenye uzembe, unafanya tendo ambalo unajua linaweza kupelekea kitu fulani, halafu unakuja kutuambia bahati mbaya
Sio kweli sex is not only for making babies buddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…