Njaa nyingiNi mwalimu huyo....yaani sijui hii kada INA nini....matatizo tupu yaani
Inamaana hapo Dakawa au Dumila hakuna wakaazi/wazawa ambao ni competent kuliko hata wewe mwl na akapewa jukumu hilo? Sehemu nyingi mchakato mzima wa application ulihusisha barua ya utambulisho toka kwa mjumbe kwenda kata kusainisha form. Unajua lengo lilikua ni nini? Au wewe ni mwl wa mchongo?Nielewe ndugu yangu mimi sio mtumishi wa umma ila naangalia tija ya kazi vijana wengi hawa walioko mitaani kweli tunapenda wapate kazi lakini je umakini wao ukoje Kwenye kazi nyeti za kitaifa? Mtu anakaa Morogoro mjini amepiga dili anaenda kuhesabu watu dakawa au dumila ili jioni arudi morogoro mjini sasa nikuulize swali Kati ya huyu kijana anaekaa morogoro mjini na mwalimu wa dakawa sekondari au dakawa shule ya msingi nani atafanya kazi nzuri kwa uaminifu? Sio kila kitu mnaangalia maslahi !!
Ewe
Sawa mwl. Hata wanaovurunda kila siku na kutumbuliwa na wengine kutajwa kwenye report ya CAG siyo watumishi.Wanatetea eti wanawapa ajira. Wanatest kwenye professional career Ili kazi ziharibike, hili unaweza ukaliona kwenye chaguzi... Wanaofanyia mpaka jeshi letu lihangaike kulinda raia ambaye hana hofu na kujali ubora wa kazi.
Kuna jamaa pia nilimsikia akiwaponda walimu waliofanya sensa 2012 wasipewe zoezi hili hili nalo lipoje Kuna jamaa yangu kaambatanisha mpaka kitambulisho cha sensa 2012 ili afikiriwe zaidiUbinafsi
Wenye ajira wanawaponda wasio na ajira na wasio na ajira wanawakandia wenye ajira mama Anna kazi unayoNi mwalimu huyo....yaani sijui hii kada INA nini....matatizo tupu yaani
Kwa Tanzania ukiwa mwalimu Yani automatically kuna Ka laana Fulani hv kama kanakuandamaNi mwalimu huyo....yaani sijui hii kada INA nini....matatizo tupu yaani
hili zoez kwanza halina mlengwa awe mtumishi au asiyemtumishi swala kubwa ni umakini wa kazi ndo mbana hata Hawa NBS.wameweka vigezo elekezi so hata hawa watumishi nao hawana.uzoefu wowote kwenye hili zoez la sensa ndio maana zoez litaanza na semina elekezi na mwisho wa siku watu makini watapatikana tu.Nimefanya kazi na hao watumishi unao wapigia chapuo ni wachache sana wapo serious hasa wanaume , wanawake ni miyeyusho tu..
Kazi hii wapewe vijana wanaojitambua bila kujali anakazi au hana kazi
kwa ufahamu wako mkubwa!Mtu anatoka Korogwe mjini anaenda Mombo kuhesabu watu anaharibu jioni tuko Mombo.
roho mbaya itakuuaNaishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.
2. Watumishi wenu wa umma wao wanafungwa na kanuni za kiutumishi kuwa watiifu hata akiharibu ipo namna ya kumuwajibisha.
3. Watumishi wengi wako kwenye maeneo yao ya kazi (within localities) hivyo kuongeza tija ya kazi ubora na ufanisi.
4. Kuna maeneo sensa ya makazi wameharibu kwasababu wamepewa kazi kwa kujuana na mabosi wa halmashauri walipoharibu wakatumwa walimu warudie tena bila malipo yoyote msipowafikiria hawa kazi ikiharibika tena itatafsirika mnaihujumu Serikali makusudi.
Jamani sensa wapewe walimu tuWAALIMU WANA HALI NGUMU SANA.
HADI KUSIMAMIA MITIHANI NA KUSAHIHISHA HUWA MNAROGANA.
Achana nalo chizi hiloAcha kuwafundisha kazi NBS, we jamaa, kwanza umesomea kozi gani wewe. Tangazo lipo wazi, limesema linataka watu wa statistics, Economics na Kz. Sasa wewe unaweka kigezo cha utumishi. Akili zako zichunguze vizuri.