Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

950 ni bug ya win 10. umei update hadi last version?

Aisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali
 
Wale walioupdate winsows 10 mfall back to windows 8, windows 10 bado ina bugs za kutosha.
 
Aisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali
update simu hadi latest version uangalie itakuaje
 
Simu yangu lumia 1320 (window 10) store haifanyi kazi yaan ukifingua store app haidsplay chochote, ni kama haipo.. Naomba msada nifanyaje ili store iwe active
 

Attachments

  • 13382063_1727370674200746_183817303_n.jpg
    13382063_1727370674200746_183817303_n.jpg
    30 KB · Views: 66
  • 13382239_1727370667534080_1260986082_n.jpg
    13382239_1727370667534080_1260986082_n.jpg
    40.4 KB · Views: 64
  • 13401432_1727370637534083_340077354_n.jpg
    13401432_1727370637534083_340077354_n.jpg
    52 KB · Views: 63
  • 13407464_1727370647534082_1457543714_n.jpg
    13407464_1727370647534082_1457543714_n.jpg
    47.8 KB · Views: 58
  • 13413867_1727370687534078_2047081351_n.jpg
    13413867_1727370687534078_2047081351_n.jpg
    35.3 KB · Views: 65
app za play aka za michezo kama games windows phone ipo nyuma ila app za work na productivity wp ipo mbele sana. hili linajulikana sana tu.

kuhusu panya road mbona zipo nyingi tu wp ukiwa na developer account unaweza kucheza na system files, kuchakachua apps same as android.
 
Aisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali

Ndugu yangu, sio kwako tu. Kama uliupdate kwenda windows10, fanya ku roll back. Mimi mwenyewe ka simu kangu kalikuwa hivyo
 
mimi simu yangu nime update window 10 haina problem yeyote cha msingi hakikisha una update simu yako kwa wakati na kama ukiona phone update inakugomea connect wi-fi network ili uweze kupdate simu yako kwa urahisi
 
Wakuu nlikua nataka kujua jinsi ya ku update window phone lumia 530 kwenda kwenye wind 10
ingia store ya window download app. ya upgrade Advisor itakusaidia kufanya update lakini hakikisha window unayotumia sasa hivi iko updated ukikwama rejea tena kwa msaada
 
Duh! Nina Nokia Lumia 630,ina RAM 512MB na inatumia Windows 10. Naona muda wa kukaa na chaji umeongezeka tofauti na mwanzo nilipokuwa natumia 8.1, pia ipo smooth bila tatizo lolote, lakini kwenye Nokia Lumia 620 inatabia ya kuganda ukiitumia sana.
 
Hivi kuna WINDOW PHONE dual sim card???
zipo nyingi zakutosha. tena nyingi za LUMIA slot zote mbili za line zinasapoti 3G.

angalia baadhi ya hizi hapa
lumia 535 dual /single line
lumia 435 dual/single
lumia 735 dual /single
lumia 430 dual
etc
 
poleni sana wadau maana naona malalamiko mengi.
 
Back
Top Bottom