update sawa tunakubaliana sasa nina swali kwako
kwa android natumia
Mobro/sybla hapa napata cheneli za kutosha na huwa naangalia mpora kupitia simi. Vituo kama emanuel tv nazo nazipata bila chenga ni bando langu tu
Nikitaka muvi nafungua app inayo itwa SHOWBOX hapa ntaangalia mpaka nichoke mwenyewe
sasa nipatie maujanja kwa windows nikitaka kupata hayo mambo nafanyaje?
tukiacha zile links za muvi ambazo mkwawa huwa anatuwekea humu kama index of film n.k ambazo huwa zina uhai mdogo kabla hazija be broken..
hujaeka protector? ikifanya hayo mambo simu inakuwa kwenye chaji?Wakuu naomba msaada wenu,simu yangu Nokia Lumia625 inanipasua kichwa,niliifanyia reset baada ya kuwaka screen/touch haifanyi kazi sawasawa,mf:nikifungua file la message inafungua kitu kingine,sometimes inajiwasha yenyewe nakufungua mafile na ku-accept vitu ambavyo sivitaki,kuna jamaa alinishauri niipeleke kwa fundi ila mafundi wengi wanakimbilia kuifungua ila me naamini ni masuala ya programming coz simu sikuwahi kuidondosha labda iwe kuigandamiza mfukoni,naomba nielekezwe chakufanya au zilipo office za Nokia kwa Dar nikawaone wataalamu wao.
ber: 274275"]Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizohujaeka protector? ikifanya hayo mambo simu inakuwa kwenye chaji?
Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo
hizo lumia zinasimamiwa na midcom hapa Tz wapo mikocheniHapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo.
Shukrani mkuu.hizo lumia zinasimamiwa na midcom hapa Tz wapo mikocheni
Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
Shukrani mkuu.
Mkuu nina window phone ambae ni micrsoft 435 tatzo langu kwny store yake cpat blog za bongo nisaidie kuptia ismailifaraj5@gmail.comber: 274275"]Hapana sijaweka protector mkuu,muda wowote iwe kwenye charge isiwe kwenye charge inafanya mchezo huu,nakumbuka siku nilipoireset baada ya kuwaka ilinitaka ni install update nilipofanya hivyo ndo ikaanza matatizo
Nina simu yang window phon 435 microsoft shida yang ni app nying za bongo hazpo kwny store yao kam blog naomba msaada kupitia email yang ismailmafaraj5@gmail.com /whatsap 0656694015Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
Cheers!!!
cortana ipo on unaweza itumia?Chief mkwawa, Lumia yangu 820 nili restart ilivowaka haisomi quite hours. Inanipa niweke Cortana on lkn Cortana IPO on ILA bado haikubal