Habar wana jamvii nnawezaje kuingiza jamii forum kwenye wp yang version yake ni 8.1
Mkuu Chief-Mkwawa kama wanazo microsoft lumia 950 na bei yake hapohizo lumia zinasimamiwa na midcom hapa Tz wapo mikocheni
Magore Street,
P.O. Box 76764, Dar Es Salaam
2122035
+255 (22) 2122048
nafkiri watakuwa nazo na bei za flagship si unazijua? around 1m hadi 1.5m hiviMkuu Chief-Mkwawa kama wanazo microsoft lumia 950 na bei yake hapo
Sawa Mkuu nazijua.nafkiri watakuwa nazo na bei za flagship si unazijua? around 1m hadi 1.5m hivi
Gafla simu yangu nokia lumia 630 Ina charge slow na kumaliza charger haraka, naweza charge masaa hata 8 nikakuta 20% tuu ndo imeingia nifanyaje?
Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
Cheers!!!
Nauliza wakuu, kuna yoyote mwenye windows phone version 7.8 na whatsapp yake inafanaya kazi? Ya kwangu imegoma baada ya kuiapdate, mpaka leo haijakubali, nahitaji msaada
Kuna 640 Dual unaweza kupata kwa 300 hadi 250 ILA haina 4GMicrosoft 535 Dar inauzwa bei gan?
Microsoft 535 Dar inauzwa bei gan?
Mi nahitaaji Lumia 830 mwenye kujua naweza ipata wapi Na bei zake zikoje aniambieNina lumia 640, Brand new.
4G,
Single line,
Magnetometer sensor ( direction compass ),
GPS (Built in GPS hardware),
Lumia Denim OS,
Inakuja na accessories zake zote .
Bei nauza 320,000/=.
nina tatizo sawa na lako..nilihangaika hapa kutafuta microsoft lumia 950 lakini nilichokutana nacho siamini..yaani simu inaisha chaji ndani ya saa moja hata kama ilijaa..yaani inapata moto kama pasi.Gafla simu yangu nokia lumia 630 Ina charge slow na kumaliza charger haraka, naweza charge masaa hata 8 nikakuta 20% tuu ndo imeingia nifanyaje?
950 ni bug ya win 10. umei update hadi last version?nina tatizo sawa na lako..nilihangaika hapa kutafuta microsoft lumia 950 lakini nilichokutana nacho siamini..yaani simu inaisha chaji ndani ya saa moja hata kama ilijaa..yaani inapata moto kama pasi.