Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,598
- 5,187
Sent from mTalk
Tuongee biashara mkuuWapi naweza kupata back camera ya Lumia 535
Mkuu mie niko hapa ila kunanotification imekuja kua ninatakiwa kuupdate pia je nitaweza ifanya hii kazi bila wifi manake wameniambia niwe na mb kama 600 hivi manake mwanzo nilitumia wifi niliyocreate via simu moja tu je itakubali kwa kutumia data zakawaida tu mkuu![]()
Sent from mTalk
Download UPGRADE ADVISOR kwenye store yakoaaah hakuna cm kama nokia lumia nazikubali na ndio rafiki yangu wa karibu ila mm natumia nokia lumia 525 ina window 8.1 kila nikiapdate ili ije window 10 inakataa je nifanyaje?
Manake the day nimeupdate nilitumia around 1hr kuupdate mpaka nikawa nahofia kua my be nimebug update ya mwanzo niliifanya kupitia lumia 535 kuja huku sasa je naweza unganisha kutoka wifi kwenye tecno kuja huku kwa microsoft 640
Sent from mTalk
Sasa mkuu licha ya kua ninayo apps ya upgrade advisor ambayo ndio iliniongoza kuupgrade window10 sasa napotaka ifata ili inipe mwongozo kama mwanzo inaniambia hakuna update nyingine kwa sasa nifanye nini plz
Sent from mTalk
Lakini kwangu hakuna bugz zozote kwani inapiga mzigo vizuri tu aisee
Sent from mTalk
jaman hv hii app ya windows insider je nayo ina tumika kuapdate window?