SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
- Thread starter
- #401
pole mkuu!!! sijawahi kutana na case kama yako... upo dar au mkoa hio hadi iflashiwe na latest frimware... sababu hio os iliyomo iko binded na huyo operator waliye mlokia.Kwa mara ya pili naomben msaada au ushaur wana jamvii nna wind phon lumia 620 iko locked katka networ.. ya tanzania nkiweka lain mtandao ausomi inaomba code msaada wenu wana jamvi imei yake ni 356347058287041
Kwa wale wataalam wa wind kama chief mkwawa and sharobalo please msaada wenu na wote wana jamvi
unaweza kui access ikiwa offline yaani iwe kwenye airplanemode halafu ukakonect wifi na kujaribu kuiupdate?! au huwezi kui access kabisa!!