God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
okay ngoja nifanye hivo chief.nenda pictures then whatsapp utazikuta huko. una file manager?
okay ngoja nifanye hivo chief.nenda pictures then whatsapp utazikuta huko. una file manager?
pengine sababu ya security, na recorder ya kudownload ni tofauti na inayokuja na simu/kuwekwa na oemnimefanikiwa wakuu ila window 8.1 denim kuna vitu wamebania mfano audio recorder hamna mpaka ni download sijui kwa nini wamefanya hivi.
inayokuja na simu ina affect security kivip mkuu naomba unieleweshe.pengine sababu ya security, na recorder ya kudownload ni tofauti na inayokuja na simu/kuwekwa na oem
zote zina affect security kwenye enterprises, siri za ofisini zinaweza rekodiwa, simu za mabosi kwenda department mbalimbali nk.inayokuja na simu ina affect security kivip mkuu naomba unieleweshe.
nimekupata mkuu ila sion kama ni ishu sana maana mtu utaweza hata kuchukua video kabisa na picha ndo tuseme hivo navo wangevitoa?zote zina affect security kwenye enterprises, siri za ofisini zinaweza rekodiwa, simu za mabosi kwenda department mbalimbali nk.
recorder inayokuja na simu inakuwa na permission nyingi na hufanya kazi vizuri (mara nyingi) tofauti na zile unazodownload
yap ofisi nyengine hivyo pia wanavitoa.nimekupata mkuu ila sion kama ni ishu sana maana mtu utaweza hata kuchukua video kabisa na picha ndo tuseme hivo navo wangevitoa?
inategemea na bei utakayonunuliaNataka kununua Nokia Lumia 930 , ushauri wenu watumiaji Wa Windows, na vipi inaweza kupata update ya Windows 10
Nimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
Cheers!!!
Chief Mkwawa natumia lumia 920 mbona sijapata notification ya update window 10?620 nafikiri ni batch ya mwisho, walionunua simu za karibuni ndio wanaanza
Chief nimepaste hiyo link but ina respond the link you have entered is wrong or unsupported.. Plse helpjisni ya kuangalia local tv na tv nyengine kwa kutumia windows phone
kuna wadau humu waliniomba nilifanyie kazi hili suala haya ndio majibu
1. nenda store search app inaitwa tvizzle hii app itakuwezesha kuangalia tv online pamoja na kusave list ya tv zako kwa ajili ya kuja kuangalia baadae
2. fungua app yako utakuta tv za kituruki achana nazo nenda setting utaona sehemu ya kupaste url
![]()
3.nenda link hii kupata chanell za kitanzania
IPTV - AFRICA ~ Iptv Links
4.paste link husika kwenye box la url halafu play
local tv zitaanza kuplay
Chief Mkwawa natumia lumia 920 mbona sijapata notification ya update window 10?
Thanks,but mbona kuna mdau hapo amesema amepata notification official? Itaachiliwa Africa lini?Huwezi pata notification sababu bado haija achiwa kwenye region yetu huku africa... ingia store download window 10 update advisor halafu fatisha maelekezo
Nimedownload hiyo update advisor,imenijibu phone is not supported for update window 10Huwezi pata notification sababu bado haija achiwa kwenye region yetu huku africa... ingia store download window 10 update advisor halafu fatisha maelekezo