Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

Ya kulipia tvizzle mkwawa!?
ukiamua unalipia ukiamua unatumia bure just click try itakubali.

kuna apps kibao za windows phone ukiona kama za kulipia ila trial zake ni za lifetime, just developer anakukumbusha tu kama una hela umchangie kidogo
 
Tuwekeeni apps mbali mbali Ili tuweze kuinjoy nasisi ambao hatujui chochote apps mbali mbali kwa matumizi mbali mbali pia
 
Tuwekeeni apps mbali mbali Ili tuweze kuinjoy nasisi ambao hatujui chochote apps mbali mbali kwa matumizi mbali mbali pia
youtube-metrotube, tubecast, mytube
instagram-6tag
utilities- #1toolkit
twitter- metweet, peregrin
image editing- aviary
video editing- movie maker, movie creator, video moment etc
video player- cc player
file manager -files
ebook reader- bookvise
pdf reader- foxit pdf
social network- badoo, eskimi, 6tin, promegle etc
sports- 1st4fan wana app za timu nyingi, sports


pia ni muhimu kujua live tiles na namna ya kuzitumia kwenye home screen app kama hizo za michezo ukieka kwenye homescreen live tile itaonyesha data muhimu kama mechi inayokuja ni ipi, labda timu imefungwa mara ngapi imeshinda mara ngapi nk hivyo baadhi ya vitu utaona hata kama hujafungua app

pia unatakiwa ujue feature ya kupin vitu kwenye start screen. mfano mke wako unaweza pin whatsapp yake kwenye homescreen ikawa all time unaona profile pic yake na ukitaka kumtext unaclick ile profile unapelekwa moja kwa moja kwenye chat yake. unaweza pin vitu kama website, shortcut za kufika sehemu fulani ya apps nk.

pia kuna peoples hub unaweza add acount za twitter, fb nk ukaona vichwa cya habari vya notification zako bila kufungua app husika.

kuna kids corner au guest mode, hii utaweza kuset apps mtu asiekua wewe aone apps chache nyengine asione. mfano unaweza msetia mwanao akishika simu aone games tu asione msg wala video wala whatsapp.
 
Hivi tapatalk notification popups haifanyi kazi.? maana natumia JF tapatalk ila notifications hazipopup katika activity bar pamoja na kuwa katika settings za tapatalk nimetick sehemu zote za kupookea notifications. kuanzia PM mpaka, Quoted messages, replies nk.
 
nenda kwenye app ya people (contacts) halafu swipe utaona sehemu imeandikwa whatsa new then utaona option ya set acount eka hapo acount zako za fb, twitter nk ambazo unataka uone vichwa vya habari
Thanks bro...pa1.
 
Pia wadau wa windows phone naomba mniambie ni app gani nzuri ya ku-download video youtube,mwanzo nikitumia Tube HD but ilikuwa inagoma goma mara video zinajifuta zenyewe,nitumie apps gani nzuri?
 
jaman mimi sion whatsapp audio kwa lumia yangu 535 nifanyeje jaman kwan ukidowload wasap audio zinaingia sehem gan? au kuna app maalum ya kuzipata plz naomben mniambia.
 
jaman mimi sion whatsapp audio kwa lumia yangu 535 nifanyeje jaman kwan ukidowload wasap audio zinaingia sehem gan? au kuna app maalum ya kuzipata plz naomben mniambia.
nenda pictures then whatsapp utazikuta huko. una file manager?
 
APP NITUMIAZO MIMI

1 Toolkit
4share for WP8
6tag
9Gag(so funny)
accuweather
adobe Photoshop
Advanced English dictionary
blendifier
camera360
camera 360 sight
dropbox
Dual shot (nice)
easy transfer (tumia wifi kurusha file kwenye Laptop) super fast
ebay
framagic
frame college
life is mycomic
Mp3 soundcloud downloader(muhimu sana)
Music HD (So nice)
music now
MUSIC+
Music match lyrics
my memories
net check
NQ mobile vault
office lens
onedrive
PDF Reader
perfect tube
photomaker
photomic
photoslide show
skype
squid
storage cleaner
tanzania news paper
truecaller
TTPOD (Tangu symbian kwenye nokia hadi huku)
tubemate
tumblr
tunein radio
twitter
Uc browser
VLC (BABA LAO)
Watsap
ZEDGE (lovin it)
 
Back
Top Bottom