Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

Chief napata tatizo la kuinstall adobe flash prayer katika simu yangu Lumia 630, je Kuna alternative, pia siwezi kulive stream video, haikubali. Je nakosea wap? Au inabidi ni upgrade simu? Je windows 10 Ina automatic flash prayer kwenye browser?
 
watu washaana na flash siku hizi simu za kisasa zote zinatumia html5.

unataka kustream nini?
 
chief na wadau wengine wa window. ,nahitaji keypads nene nene au nzuri,hii ya window sioni vizuri na ime bana sana (nachapia) kwenye store haipo.
 
chief na wadau wengine wa window. ,nahitaji keypads nene nene au nzuri,hii ya window sioni vizuri na ime bana sana (nachapia) kwenye store haipo.
huwezi badili keypad na mi natumia simu ndogo kabisa ya wp8 (3.8 inches) lakini sipati shida kutype. una uhakika kukosea kwako ni udogo wa keypad? sometime unaweza kuta setting za keyboard hazipo sawa umeeka suggestion na spell check ndio maana unakosea. pia sometime ukitumia chaja ambayo sio original wakati wa kuchaji hukosea kuandika.
 
Kuna live stream link tokea facebook, nafuatilia ibada ya jumapili, ipo live stream. Nikogonga inaniambia ni install flash prayer. Je napataje hiyo html 5?
 
Simu yangu inacharge very slow..... Tatizo ni nini?
 
Kuna live stream link tokea facebook, nafuatilia ibada ya jumapili, ipo live stream. Nikogonga inaniambia ni install flash prayer. Je napataje hiyo html 5?
html5 ipo built in kwenye simu, hio livestream haipo youtube live? unaweza nipa details zaidi kama url yake au full name ili tuangalie tunatoka vipi
 
Kuna live stream link tokea facebook, nafuatilia ibada ya jumapili, ipo live stream. Nikogonga inaniambia ni install flash prayer. Je napataje hiyo html 5?
Fungua facebook kupitia browser ya simu ,ni html5 utaweza kuichek direct hiyo video ,mimi nimeweka windows ten hata kwenye facebook application video zinacheza au hauja upgrade facebook application ndugu !!!??
 
Jamani lini tutapata update ya window ten Maana tunaisubiri kwa hamu Na tunaona mlolongo wa kuipata kupitia window insider hatuwezi kabisa hasa mimi
 
Na endapo nitafeil kuinstall window ten kupitia window insider nini kitatokea msaada jamani pia Ni lazima niwe Na mb angalau ngapi ili niweze install window 10 via w insider manake natizama tutorial but naona Kama sio ngumu kivile ila nahofia
 
simu zote za wp8 zinapata win 10 usiwe na wasi wasi
nahitaji kununua used windows phone yenye sifa hizi:
a)ina line 2
b)iwe ya rangi yyt,ila sio nyeusi
c)iwe na 8.1v ambayo ni easily upgradable to windows 10v
d)iwe na kioo cha 4" kushuka chini
e)bajeti yangu ni 200k kushuka chini
f)niko meatu-simiyu
 
hapo unapata lumia 435/430 mpya na change ya 50,000 inabaki nafkiri ndio simu pekee zinazokidhi vigezo vyako
 
nina windows phone lumia 530 kila nikijaribu kudowload ina fail.msaada tafadhali.pia nikitumiwa nyimbo kwa bluetooth hazionekani zimekaa wapi
 
nina windows phone lumia 530 kila nikijaribu kudowload ina fail.msaada tafadhali.pia nikitumiwa nyimbo kwa bluetooth hazionekani zimekaa wapi
kudownload nini? na kujua mafile yako yalipo nenda store kadownload app inaitwa files itakusaidia kunavigate mafolder ya simu yako
 
Guys windows 10 is out, nimweshadownload na nimeshaupdate simu yangu.

f86a9e1b6d1c91580738a77146e70073.png

c0c0da10047cac855d642da6c2ffded5.png

7b2dd8d805c84b242563b2bfdf5480ad.png

78e7d73f3f2d32a82aa4e0de8bbbbcda.png

f577dd9d96737776fb4eb053b1361f7a.png

69a5563981025c3c2e009ba30e3df04f.png

Ina muonekano mzuri ila still wameniangusha sehemu moja. Haina option ya kulock network.

e4b94db928c5cb952e0555065e0026a3.png

Mengine ngoja tutumietumie may be yataibuka.
 
kudownload nini? na kujua mafile yako yalipo nenda store kadownload app inaitwa files itakusaidia kunavigate mafolder ya simu yako

nikidownload youtube kwa kutumia ssyoutube inadownload mpaka mwisho lakini nikiangalia ohone memory na sd haipo vilevile ninapotumiwa chochote kwa bluetooth
 
Mmmh wengine

Hebu nipeni msaada kwanza wa namna ambayo nitaweza igeuza simu yangu ya vodafone v 695 iwe kama wifi ili niunganishe na hii my lumia 535 niweze kuupdate kwenda window ten
 
nikidownload youtube kwa kutumia ssyoutube inadownload mpaka mwisho lakini nikiangalia ohone memory na sd haipo vilevile ninapotumiwa chochote kwa bluetooth

download kwa kutumia ucweb halafu ukishadownload utaweza iplay pale pale kwenye ucweb na kama unataka uione iguse kwa nguvu itatokea option imeandikwa export to sd card kama una memory card itaenda huko kama huna itaenda folder la pictures then ucweb ila itabidi uwe na file manager
 
Back
Top Bottom