EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
yap itapataLumia 620 itapata kweli windows 10?
haiwezi
Kaka habari!haiwezi
simu zote za android haziwezi except xiaomi mi4Mkuu Chief-Mkwawa vipi kuhusu Samsung Galaxy S4?
Kaka habari!
Mimi nimejisajili kama windows insider ili niipate mapema windows 10 ,najiuliza na naomba unisaidie je siku ikiwa released kwa kila mtu kutakua na faida gani ya mimi kubaki insider !!?? Je kama hakuna faida naitoaje insider na kupokea official update maana sasa nahisi niko kwenye update itakayokua official mwa simu zote zitakazopokea windows 10.Simu ni lumia 820 mkuu.
Ahsante na natanguliza shukrani
Duh! Nimechemsha sasa, ngoja niangalie uwezekano wa kupata simu nyingine.simu zote za android haziwezi except xiaomi mi4
yap itapata
![]()
Nimeipenda nishaipata hiyo update[/QUOT
Poa Sana! IlaNaisubiri kwa Hamu hyo .107 nna Lumia 830 inanambia iko up to date! Ila Jana Microsoft ka achia update kwa fast ring insider kwa Lumia 50 series na xaiomi mi4! Build. 14267 Redstone!![]()
Nimeipenda nishaipata hiyo update
simu zote za android haziwezi except xiaomi mi4
kwa youtube hakuna os inayoifikia windows phone wala usiwe na wasi wasi. angalia apps hizi.Mkuu vipi kuhusu app ya ku download videos ktk youtube? Nimecheck tubemate sijaipata
asante kwa maelezo yaliyo nyookakwa youtube hakuna os inayoifikia windows phone wala usiwe na wasi wasi. angalia apps hizi.
1. stream tube
hii inaonesha youtube live tu, yaani vitu ambavyo vinaonekana wakati huu duniani mfano online games, mpira sometime unaona, events mbali mbali kama uzinduzi wa simu nk
2. tube cast
kama una tv au deki inayosuport dnla, widi au technology yoyote ya wireless display hii app ni nzuri sana utaweza ona youtube na tv yako au deki yako ya dnla itapata uwezo wa kuona youtube kupitia hii app.
3. metrotube na mytube
hizi ni app nyengine nzuri za youtube utaweza angalia na kudownload youtube,
uzuri wa app za windows phone za youtube ni kwamba zina feature zote za official apps na za 3rd party apps nikimaanisha vitu kama
-kuangalia video kwa quality unayotaka
-kudownload kwa quality unayotaka
-kucoment
-kusign in na kusync playlist zako
-kulike
-kucast kwa wireless tech za wifi
asante kwa maelezo yaliyo nyooka
sasa tuje upande wa muvies kwa android tunajua ipo app inaiywa showbox inafanya vyema kabisa.
huku kwa lumia ni app gani nzuri kama hiyo?
pia umekua ukiweka links mbalimbali za muvi kama index of movies/film sasa naomba kujua kwanini hao wamiliki wa hiyo mitandao hawasumbuliwi kama torrents na pyratebay kama sikosei?
ahsante.
mmmmmhushauri acha kabisa kununua smartphone yenye windows os, report ya hivi majuzi inaonyesha mauzo ya hizo simu yamepungua kwa 50% na kwa sasa simu hizo ni asilimia 1.7 ya smartphones zilizouzwa kwa wateja globally na usishangae microsoft ikaachana na hiyo biashara kwa source jaribu ku google business insider uk [this chart shows how badly microsoft's windows phone business is doing]
ushauri acha kabisa kununua smartphone yenye windows os, report ya hivi majuzi inaonyesha mauzo ya hizo simu yamepungua kwa 50% na kwa sasa simu hizo ni asilimia 1.7 ya smartphones zilizouzwa kwa wateja globally na usishangae microsoft ikaachana na hiyo biashara kwa source jaribu ku google business insider uk [this chart shows how badly microsoft's windows phone business is doing]
utapata official updates japo inaweza chelewa kidogo kwako. halafu ukishapata utaamua mwenyewe kubaki insider au kuondoka.
hivyo ndivyo ilivyokuwa kwenye insider ya windows 8.1 nafkiri na mara hii watafanya hivi hivi.
Mkuu eeeh,hivi nikitaka kuupload picha kwenye version hii mpya ya JF nafanyeje,mimi imenizingua kinyama,naomba unisaidie kama una ufahamu Mkuu