Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

Iko hivi kaka
8f932f5859a6dcf009d928c83d1e8588.png
Kama una muda cheki update nyingine. OS build inatakiwa kuwa namba 10.0.10586.63
 
Download windows insider toka store halafu ifungue ujisajili ukimaliza ,nenda settings check for update utaipata download uende windows 10 ndugu
Mkuu Nime download lumia insider lakini mbona sioni sehemu ya kujisajili? Au ni window insider ipi nitafute?
 
kuna slow ring na fast ring wanapokea updates tofauti. seems upo slow ring na updates ya build mpya wamepewa walio katika fast ring.

ila ni vyema kubaki tu hio hio slow ring
Ndio nimejisajili kwa slow ring ili nipate updates zilizostable kiasi mkuu
 
una updates nyingi zimejilimbikiza hadi umalize zote
Msaada tafadhali! Nimefanikiwa kuinstall window 10 na nikaitumia kwa masaa kadhaa lakini baada naikuta simu hairspray chochote zaid ya hivyo. Ikipigwa unapokea na msg zikiingia nazisikia ila siwezi kuzisoma japo kibox cha msg kanaonekana! Nifanyaje mkuu?

Hivi ndivyo inavyoonesha
 
Attachments

  • 1453012111809.jpg
    1453012111809.jpg
    52.1 KB · Views: 47
Msaada tafadhali! Nimefanikiwa kuinstall window 10 na nikaitumia kwa masaa kadhaa lakini baada naikuta simu hairspray chochote zaid ya hivyo. Ikipigwa unapokea na msg zikiingia nazisikia ila siwezi kuzisoma japo kibox cha msg kanaonekana! Nifanyaje mkuu?

Hivi ndivyo inavyoonesha
Jaribu kuzima na kuwasha, ikishindikana jaribu soft reset
 
Wakuu nami natamani niikamate window 10 but naogopa complications za kuanza kuhangaika sana kama nita-fail,ninini ushauri wenu wadau niforce tu au nisubirie watakapoiachia official.mie sio mtaalam sana wa kucheza na simu ndo mana nahofia, mi_mdau ushauri plz.
 
Kama hupendi sana kucheza na simu subiri official update. Hata hivyo siyo ngumu sana kwenda windows 10
 
Yaonekana ni tam sana, hiyo interface kuanzia mbele hadi kwenye setting inafanana na Windows 10 ya kwenye PC.
Windows 10 ni tamu.
Yaani kwenye sports huna haja ya kutafuta apps nyingine zaidi ya ile ya Microsoft. Ni balaa. Na mengine mengi.
 
Wakuu nami natamani niikamate window 10 but naogopa complications za kuanza kuhangaika sana kama nita-fail,ninini ushauri wenu wadau niforce tu au nisubirie watakapoiachia official.mie sio mtaalam sana wa kucheza na simu ndo mana nahofia, mi_mdau ushauri plz.
Subiri official update inatoka February mwaka huu, 2016
 
Hizi windows haziwez tanua soko kwa biashara wanayo fanya....
Lumia 650 expected to b release this year but ukichek specifications zake ni 1gb ram, internal 8gb, snapdragon 410 ambazo ni ndogo saan kulingana na bei iliyowekwaa.... Wakitaka wakamate soko la simu kwa dunia ya sasa angalau ram iyanziee 2gb, internal 16, snapdragon/qualcom 600>
 
i thought inakuja na 410 ila leak zote za mwisho zinaonesha ni 210.

department ya simu ya msft ipo ovyo sana ukiangalia lumia 620 ni nzuri, then 625 ikawa downgrade then 640 ni downgrade processor then 650 ndio downgrade kabisaa.

wanatakiwa sasa hivi waachane kabisa na arm wahamie x86 mazima ili kujitofautisha
 
Yaonekana ni tam sana, hiyo interface kuanzia mbele hadi kwenye setting inafanana na Windows 10 ya kwenye PC.
Windows 10 ni tamu.
Yaani kwenye sports huna haja ya kutafuta apps nyingine zaidi ya ile ya Microsoft. Ni balaa. Na mengine mengi.
hio ipo windows phone toka inaanzishwa na ukitumia feature ya pin to start screen unatengeneza maelfu kama sio mamilioni ya app za michezo
 
Yaonekana ni tam sana, hiyo interface kuanzia mbele hadi kwenye setting inafanana na Windows 10 ya kwenye PC.
Windows 10 ni tamu.
Yaani kwenye sports huna haja ya kutafuta apps nyingine zaidi ya ile ya Microsoft. Ni balaa. Na mengine mengi.
hiyo app ni kama mobdro (kwa android)
au sybra? kwqmba unaweza cheki ligi za ulaya bila whida? kama ndio inaitwaje?
 
Back
Top Bottom