Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

Tecno ndio mkali na hamna haja ya kununua simu nyingine yoyote soma hapa sababu kwa nini nasema hivi
Ni mawazo yako uko huru kuongea ,kila mtu na akipendacho mimi tecno hata kuishika tu sitaki maana kwa matumizi yangu hata galaxy s3 inastuck sasa tecno si ndio itazima kabisa ,pia siko in love na android phones napenda windows na ios sema ios phones size yakekwa phone ya ndani ya uwezo wangu ni ndogo sana (umbo)
 
Tecno ndio mkali na hamna haja ya kununua simu nyingine yoyote soma hapa sababu kwa nini nasema hivi

2ffb539aa6c318cddf7b7216fbb69e4d.png

Huu muonekano unanikosha saaaana ,nokia kama walijua nataka simu aina gani
 
Hivi lile tatizo la memory kujazwa na other files alafu huwez kuzi access na kuzifuta lishapatiwa ufumbuzi,
kama ni yes nambie nirudi kwenye hiyo platform maana ndicho kilicho nikimbiza kunitoa huko nisiendelee kutumia windows phone...
 
muda tu, nafkiri toka 2013 kwenye update ya black, na ilivyotoka cyan likaisha kabisa sababu sasa hivi kuna file manager
 
Vip kuhusu lumia 650 nmepta GSM na phone arena naona watu wanakoment kuwa ni simu ya bei kubwa performance ndogo 1gb, 16gb, snapdragon 212, betry 2000. mnasemaje kuhusu Hilo? Na kuna mmoja akasema snap ya 212 inatosha saana kwa windows 10
 
sijui wanafkiria nini microsoft lakini so far simu zote zinazoishiwa na 50 hazimake sense.

ni aibu simu za series ya 20 zikiwa na power kuliko za 50 hasa ukiangalia kwamba zina gape ya miaka karibu 4.

lumia 520, 620 na 720 zote zilikuwa na adreno 305 kama gpu na ni za zamani sana ila simu ya 2016 inatoka na adreno 304 halafu inauzwa bei ghali.
 
Aisee kwa hapo still inaonyesha simu za nyuma ni bora kuliko zanazo toka sasa....
 
Kama una muda cheki update nyingine. OS build inatakiwa kuwa namba 10.0.10586.63
. Sasa hvi kuna build 10586.107 na hii ndo itakua public release, Kuna baadhi ya simu Kama 950 xl na 950 zimeanza pata update tangia Jana!
 
Mimi Nina Nokia Lumia 822 Verizon but Kila ninapojalibu kui updates uwa unaenda hadi 80% mwishoo ya fail so sijui Ni speed ya WiFi ama Ni simu yenyewe aina uwezo ya kupokea updates
Msaada wenu wakuu mana still ipo na window 8 na Kuna app nazikosa kwa sasa
 
Windows phone ukiweza kuitumia poa izi androids utaziona kama toi aisee windows phoni ni nyoko kwa kila kitu
 
Mimi Nina Nokia Lumia 822 Verizon but Kila ninapojalibu kui updates uwa unaenda hadi 80% mwishoo ya fail so sijui Ni speed ya WiFi ama Ni simu yenyewe aina uwezo ya kupokea updates
Msaada wenu wakuu mana still ipo na window 8 na Kuna app nazikosa kwa sasa

ikifeli inatoa error gani? kunakuwa na namba wanaandika kupitia hizo namba utajua tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom