mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,171
- 1,757
Kwanza uwe unatumia Lumia device recovery tool, hiyo itainstall original os ya simu yako. Inadetect os ya kudownload automatically.Hiyo niliifanya nilidownload hiyo insider nikajisajili ikanipa update nikasita kudownload nika uninstall window insider sasa update ikabak pale pale ,siko niko kwenye wifi ikaupdate kumaliza ikazima na kuinstall update ikawa haimalizi kuinstall ikawa inaishia kwenye logo tu,ikabidi nikawekewe windows software upya sasa naogopa kujaribu tena,niliyowekewa ni ya voda net ilikua slow akashindwa download firm ware yake akaniekea ya vodacom aliokua nayo hapa simu ikiwaka inaanza kwanza na logo ya voda inanikera balaaa,nitaibadilisha tu
Lakini nikuulize kuwa unaposema haimalizi kuinstall update ya windows 10 kwa mara ya kwanza ulisubiri muda gani? Kwa sababu huwa inachukua muda mrefu karibia saa nzima kuinstall mara ya kwanza, inataka subira. Nahisi pengine hukuisubiri vya kutosha. Ulisubiri muda gani?