Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

Kaka bora uulize uambiwe ila sio kutoa jibu direct kama unafahamu vile ,windows kuna application inaitwa Tapatalk ambayo ndani ya tapatalk unaadd forum zako unazotaka wewe hapo ndipo tunapoipatia jf pia ,halafu mimi pia sikupenda windows mwanzo ila asikwambie mtu nimetumia 520,620,635 sikua naona raha kivile ingawa nilitumia sababu napenda kua na windows tu sasa nina lumia 820 acha maneno kabisa yaaani iko very smooth picture quality ni carl zeis kaweka mkono wake ni super ukija speed 1ghz hatari haistack net 4g yaaan kila ninachopenda nakipata hata situmii kina cortana ingawa wapo but napenda nitakacho nakipata hakika hapa unipe android situmii maana hii lumia sijawah subir application ifunguke,nangoja kwenda 920 au 1020 au zaidi

Mkuu napataje ups za kusoma emails kama Gmail na yahoo? Ninazokutana nazo store sio nzuri zinakukera mpaka nimeirudisha lumia yangu kabatini japo ni 4g
 
huitaji kuwa na app ya kusoma email from store ukiwa unatumia lumia, unavhotakiwa kufanya ni kwenye kwenye settings, katika option ya account, add an account. Kuna accounts nyingi unaweza ukaadd including hiZo za kwako. So email ikiingia unafungua kama sms tu
 
Mi naiona ngumu balaaa sasa hivi inaniambia microsoft account is unavaliable try again, siwezi kudownload chochote hapa nilipo aaaarghhh
 
Generally utakua simu zinakusumbua sio mchezaji wa simu nenda settings kwenye accounts ka synchronise mara nyingi inatokea hivyo ikiwa password umeweka sio yenyewe kaka ikikubali kusynchronise basi jua itakubali pia kudownload applictions,mimi niwe na android au microsoft napenda kucheza na simu na kujua kila kitu mpaka sasa software siwezi peleka fundi amirekebishie nacheza nayo mwenyewe tu,ukikubali kuijua kila kitu ndio utaona raha ya simu yoyote unayotumia
 
Mkuu napataje ups za kusoma emails kama Gmail na yahoo? Ninazokutana nazo store sio nzuri zinakukera mpaka nimeirudisha lumia yangu kabatini japo ni 4g
Lumia phone was meant kwa kazi hizo za kiofisi ,emails nenda settings,accounts add unazotaka na si emails pekee mpaka accounts za facebook,twitter yaan ni wewe tu mimi napokea na kujibu emails kwenye account zangu zote mpaka za ofisini kwa kutumia lumia yangu,nashukuru siogopi virus na pia automatocally picture zangu zinakua saved to one drive ,hata nifute kila kitu najua pictures na document zangu nitazipata maana uzur ina upload automatically nimeaccept hivyo itume
 
Kama hapa nina new email
0a0eed15a54ade72f43c0e9591dcf0c5.png
 
this is how my 920 lumia phone loaded with windows phone ten looks alike
 
Attachments

  • wp_ss_20160110_0002.png
    wp_ss_20160110_0002.png
    223.1 KB · Views: 50
  • wp_ss_20160110_0004.png
    wp_ss_20160110_0004.png
    237 KB · Views: 55
  • wp_ss_20160110_0006.png
    wp_ss_20160110_0006.png
    31.9 KB · Views: 51
  • wp_ss_20160110_0009.png
    wp_ss_20160110_0009.png
    20.5 KB · Views: 53
Lumia phone was meant kwa kazi hizo za kiofisi ,emails nenda settings,accounts add unazotaka na si emails pekee mpaka accounts za facebook,twitter yaan ni wewe tu mimi napokea na kujibu emails kwenye account zangu zote mpaka za ofisini kwa kutumia lumia yangu,nashukuru siogopi virus na pia automatocally picture zangu zinakua saved to one drive ,hata nifute kila kitu najua pictures na document zangu nitazipata maana uzur ina upload automatically nimeaccept hivyo itume
Mkuu nimeenda settings, nokia account, najaribu kuingiza Gmail inagoma. Na mbona sioni sehemu ya kuadd account zaidi ya moja?
 
Kwanza weka microsoft account ,kisha ndio ukiadd other accounts itakubali hadi gmail,yangu iko hivi
6561df7794130252cacab34b4cf641c7.png
93aa6f4b06bab4474c18db927849720b.png
 
Mkuu nimeenda settings, nokia account, najaribu kuingiza Gmail inagoma. Na mbona sioni sehemu ya kuadd account zaidi ya moja?

Ingia kwenye email+accounts hapo ndio utakuta option ya email utakazo sio nokia account ndugu
f8adcdf9534e1d281dce5787c8573956.png
 
this is how my 920 lumia phone loaded with windows phone ten looks alike
Ndugu mimi nina 820 bado sijapata update ya qindows 10,vipi umeipataje ndugu !? Option ya developer niliijaribu ikanipa update nikadownload ila simu ilizima ikagoma kuwaka mpaka nikaiflash sitaki tena njia ya devwloper nataka official kaka au other option around
 
Windows 10 mobile bado haijatoka kwa simu officialy ingawa iko karibu. Ila kama unataka KUIJARIBU sasa inabidi udownload app inaitwa "windows insider", then fungua na click get preview builds. Jisajili kama insider kwa kuingiza details za account yako ya microsoft. Simu ikirestart utaenda kucheki updates kama unavyocheki nyingine. Hapo utasubiria windows 10 iwe downloaded tu na utaupdate kama kawaida.
 
Hiyo niliifanya nilidownload hiyo insider nikajisajili ikanipa update nikasita kudownload nika uninstall window insider sasa update ikabak pale pale ,siko niko kwenye wifi ikaupdate kumaliza ikazima na kuinstall update ikawa haimalizi kuinstall ikawa inaishia kwenye logo tu,ikabidi nikawekewe windows software upya sasa naogopa kujaribu tena,niliyowekewa ni ya voda net ilikua slow akashindwa download firm ware yake akaniekea ya vodacom aliokua nayo hapa simu ikiwaka inaanza kwanza na logo ya voda inanikera balaaa,nitaibadilisha tu
 
Nitajaribu tena kuweka windows ten ila tatizo nilifuta application ya windows insider au simu sio compatible,!?natumia lumia 820
 
Chief-Mkwawa mkuu, nilikua na application kwenye simu yangu ya Windows inaitwa Football Highlights, kuna siku nimeitoa ikawa inasumbua kufunguka. Hadi sasa imejaribu kuitafuta store siipati kabisa ila jamaa yangu ana simu ya Windows pia kwake ipo.
Naomba kujua kama naweza kuipata kwa njia nyingine,.
 
huwezi kusideload apps mpaka ufanye dev unlock

hapo pengine developer wa hio app kaitoa kwa muda then atairudisha, pengine anataka kuieka kama universal app.

possibility nyengine ni kwamba haionekani region yako. huyo jamaa akisearch store anaipata? kama anaipata eka same region na yeye
 
Hapo unamaana gani mkuu

developer wanaruhusiwa kutest apps zao kwenye simu zao ambazo zinatokea kwenye computer. hivyo unaweza ukaunlock simu kama developer na kuruhusiwa kusideload apps 2 hadi 10 kutegemea na aina ya developer.

sema ni step ndefu kidogo kufanya hivyo.
 
Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom