Naipenda simu yangu ya windows

Naipenda simu yangu ya windows

seems kipo kwenye folder la hio app ya email na itakuwa inatumia mfumo wa zamani wa vyumba.

open hicho kitabu tokea kwenye email halafu save as then chagua public folder au memory card then save.

Natumia pdf reader haina option ya save as ,ngoja nidownload adobe reader
 
seems kipo kwenye folder la hio app ya email na itakuwa inatumia mfumo wa zamani wa vyumba.

open hicho kitabu tokea kwenye email halafu save as then chagua public folder au memory card then save.

Mkuu haiwezekani hata kusave ni ukiopen kinafunguka direct kwa adobe au pdf viewer na huko pia hakuna option ya save
62bea6cee8c8795acb4ed9b5a1ff2938.png
 
Nimeona nishare na wapendi wa Windowphone.

ningumu sana kutoka Android kuingia Windowphone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...

kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.

baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!

huwezi amini sometime napigastory na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga

inanikumbusha matukio..mfano nasema tu sa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi....ikifika tu huo muda napata report msg sent
nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.

mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.

app zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.

kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!

Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...tPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU

Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...

cheers!!!
Mkuu natumia lumia 1320 yaan mpaka naichukia jinsi ilivyo nzito, naomba msaada jinsi ya kujiunga CORTINA na kwenda WINDOW DEMIN
 
Mkuu haiwezekani hata kusave ni ukiopen kinafunguka direct kwa adobe au pdf viewer na huko pia hakuna option ya save
62bea6cee8c8795acb4ed9b5a1ff2938.png

ingia kwenye email kupitia browser kama internet explorer au ucweb halafu halafu login then fungua email husika then save attachment.

kama ni ie utaikuta folder la downloads na kama ni ucweb utaikuta folder la uc downloads
 
Mkuu natumia lumia 1320 yaan mpaka naichukia jinsi ilivyo nzito, naomba msaada jinsi ya kujiunga CORTINA na kwenda WINDOW DEMIN
ni almost imposible kwa simu ya wp kuwa nzito. haraka haraka inaonekana una memory card kimeo.

kwenda denim connect simu na wifi yenye mb za kutosha halafu nenda setting then phone update halafu update.

cortana eka region usa na language english us itatokea
 
Memory ni 4gb mkuu kuna haja ya kubadilisha?
 
Natumia lumia 620. Na ina internal memory ya 4GB. Na kwa sasa ina free memory ya 318MB na bafo haijawahi ku stack au kuwa nzito.... Ndo nipo katika harakati za kutafuta memory card ili niweke ipate kupumua. Kwa lumia nzito kwangu sijaona. Lumia 620 ni simu ambayo nimeipenda japo ttzo linakuja kwa udogo wake. Yani kama unachat ni lazima usimame ili uweze ku type msg....
 
ni almost imposible kwa simu ya wp kuwa nzito. haraka haraka inaonekana una memory card kimeo.

kwenda denim connect simu na wifi yenye mb za kutosha halafu nenda setting then phone update halafu update.

cortana eka region usa na language english us itatokea
Mkuu nimeweka region usa na language English usa ikaniambia nirestart phone, nikarestart lakini sioni tofauti yoyote kwa simu. Najuaje kama CORTINA imekubali?
 
Mkuu nimeweka region usa na language English usa ikaniambia nirestart phone, nikarestart lakini sioni tofauti yoyote kwa simu. Najuaje kama CORTINA imekubali?

Hakikisha inakuwa hivi...
 
Attachments

  • 1451921364092.jpg
    1451921364092.jpg
    19 KB · Views: 88
ingia kwenye email kupitia browser kama internet explorer au ucweb halafu halafu login then fungua email husika then save attachment.

kama ni ie utaikuta folder la downloads na kama ni ucweb utaikuta folder la uc downloads

Ahsante sana kaka nimefanikiwa ,God bless you
 
Download jf kwenye window phone kama utaipata . Window hawana ma apps kama android wewe mi mara ya kwanza nilinunua lumia 620 mwaka2013 ikaniboa kwenye apps zinakuwa shida kuzipata lakini IOS na Android ni kiboko
 
Kaka bora uulize uambiwe ila sio kutoa jibu direct kama unafahamu vile ,windows kuna application inaitwa Tapatalk ambayo ndani ya tapatalk unaadd forum zako unazotaka wewe hapo ndipo tunapoipatia jf pia ,halafu mimi pia sikupenda windows mwanzo ila asikwambie mtu nimetumia 520,620,635 sikua naona raha kivile ingawa nilitumia sababu napenda kua na windows tu sasa nina lumia 820 acha maneno kabisa yaaani iko very smooth picture quality ni carl zeis kaweka mkono wake ni super ukija speed 1ghz hatari haistack net 4g yaaan kila ninachopenda nakipata hata situmii kina cortana ingawa wapo but napenda nitakacho nakipata hakika hapa unipe android situmii maana hii lumia sijawah subir application ifunguke,nangoja kwenda 920 au 1020 au zaidi
 
Back
Top Bottom